JS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 2,064
- 504
- Thread starter
- #121
wakuu, kimila kijana akiwa ana kesi huita wazee na pamoja na kusikilizwa kwa kesi, huwa kijana anahitaji kuandaa mbuzi na mchele na mbege....... naomba niahidi nitafanya hivyo na pia ntaomba mzazi mwenzangu MJ1 tusaidiane kuandaa hiyo shughuli ili roho ya mtoto itulie, anaonekana amepata maswahiba makali sana toka kwa mganda; sijui jamaa amefanyaje tena?
Si mganda ni wewe hapo..mbona unahamisha kesi tena kaka Acid???