Acid!!

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
hhaaaaa JS pole sana mdogo wangu...sasa hukuweza kuficha kata kwen begi au wanacheki airport....?na sema hujajua kiwanja tu na sio safe kiviile lakini am sure zipo tu! lini sasa ama bado?

ustaadhi mboni maswali mengi?
 
Acid,

Inaelekea hiyo Acid ni kali sana imemwingia JS mpaka kwenye ubongo🙂)))
ohooooooooo

sweetlips naona unaamsha hasira za kimarangu aisee, namna gani tena arifu?

karibu whisky na weed ya kandahar
 
hhaaaaa JS pole sana mdogo wangu...sasa hukuweza kuficha kata kwen begi au wanacheki airport....?na sema hujajua kiwanja tu na sio safe kiviile lakini am sure zipo tu! lini sasa ama bado?

Bado kama wiki mbili hivi.....
 
ha ha ha hichi kizimba cha acid leo sijui hakimu nani
 
Kiongozi hujasoma kati kati ya mistari kwamba she needs something? LOL and the answer is....two weeks to go...

welcome back...ila usije na mganda kabisa maana nahisi NN atakuwa airport, watching...

Na amwache huyo nduli huko huko Kabul
 
Kiongozi hujasoma kati kati ya mistari kwamba she needs something? LOL and the answer is....two weeks to go...

welcome back...ila usije na mganda kabisa maana nahisi NN atakuwa airport, watching...

Aktuale ai wili bi going tu him binamu.....:nod:
 
ha ha ha hichi kizimba cha acid leo sijui hakimu nani
ndugu yangu leo haka katoto kameniweza kweli

huwa nina vivespa viwili leo vyote vimegoma kuwaka, sijui ntamalizaje wikendi aisee
 
ohooooooooo

sweetlips naona unaamsha hasira za kimarangu aisee, namna gani tena arifu?

karibu whisky na weed ya kandahar

Hehe..tuliza mzuka basi Acid mana utanimeza, ha ha
Leo karibu wewe Zanzibar, hapa mjimkongwe....jioni forodhani kama kawaida wikend
 
ndugu yangu leo haka katoto kameniweza kweli

huwa nina vivespa viwili leo vyote vimegoma kuwaka, sijui ntamalizaje wikendi aisee
We Acid usinifanye nikala weekend yangu na deni aisee..hii chupa yako niiache kaunta gani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…