Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Aiyaaaa....ina maana kesi imekwisha hivihivi?!!
MJ1....ebu uko......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiyaaaa....ina maana kesi imekwisha hivihivi?!!
Yaani ndo nlikuwa nimeshakaa mkao wa kula ati................basi tena ndo nshakosaAiii dada MJ1 ilikunogea nini hii kesi??
hhaaaaa JS pole sana mdogo wangu...sasa hukuweza kuficha kata kwen begi au wanacheki airport....?na sema hujajua kiwanja tu na sio safe kiviile lakini am sure zipo tu! lini sasa ama bado?
ohoooooooooAcid,
Inaelekea hiyo Acid ni kali sana imemwingia JS mpaka kwenye ubongo🙂)))
Hahahahhaaaaaaaaaa mbona imekugusa loh .eti hebu huko!MJ1....ebu uko......
we mpare nini?Aiyaaaa....ina maana kesi imekwisha hivihivi?!!
hahahahha............nshauza ng'ombe kwa kesi ya kuku aisee... lol laiti ungeniona nlivyonyweawe mpare nini?
ustaadhi mboni maswali mengi?
Bado kama wiki mbili hivi.....
hahahahha............nshauza ng'ombe kwa kesi ya kuku aisee... lol laiti ungeniona nlivyonywea
MJ1....ebu uko......
Kiongozi hujasoma kati kati ya mistari kwamba she needs something? LOL and the answer is....two weeks to go...
welcome back...ila usije na mganda kabisa maana nahisi NN atakuwa airport, watching...
Kiongozi hujasoma kati kati ya mistari kwamba she needs something? LOL and the answer is....two weeks to go...
welcome back...ila usije na mganda kabisa maana nahisi NN atakuwa airport, watching...
Kwa nini unanifanyia hivi lakini???
Aktuale ai wili bi going tu him binamu.....:nod:
ndugu yangu leo haka katoto kameniweza kweliha ha ha hichi kizimba cha acid leo sijui hakimu nani
ohooooooooo
sweetlips naona unaamsha hasira za kimarangu aisee, namna gani tena arifu?
karibu whisky na weed ya kandahar
We Acid usinifanye nikala weekend yangu na deni aisee..hii chupa yako niiache kaunta gani.....ndugu yangu leo haka katoto kameniweza kweli
huwa nina vivespa viwili leo vyote vimegoma kuwaka, sijui ntamalizaje wikendi aisee