GE2025 ACP John Imori: Maandamano bila kibali ni haramu na hili ndilo Tishio kubwa kabla ya Uchaguzi

GE2025 ACP John Imori: Maandamano bila kibali ni haramu na hili ndilo Tishio kubwa kabla ya Uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
"Wale wanaotamani kuingia barabarani nawakataza, wasithubutu, ni marufuku, wasitoke mtu hata mmoja sababu maandamo bila kibali ni haramu" ACP John Imori.

 
Kwani kuna maandamano? Imesemwa maandamano yatakayokuwepo ni ya kwenda kupiga kura tu
 
Na vp kuhusu hiyo tume isiyo huru ina vibali?

Kila uchwao ni vitisho nendeni na wakati zama zinabadilika!
 
ACP john una haki ya kuupigania ugali wako! Lakini utambue pia na sisi wananchi tuna haki ya kuipigania nchi yetu kutoka kwenye mikono ya Wahuni, ambao hawana nia njema hata kidogo.

Kwa acha tu maanfamano yawepo. Kumbuka hao unaotaka kueaua siku hiyo ni Watanzania kama wewe, na wana haki ya kuishi! Wana ndugu na jamaa kama wewe tu.
 
Nataka nichangie mchango wa virungu vya kisasa kwa jeshi la polisi utaratibu ukoje?
 
Uchaguzi watu wamesusa ,hakuna mwenye akili timamu ataenda kupiga kura.
 
Katika nchi huru ya kidemokrasia maandamano hayafanywi kwa kibali, Polisi wanapewa taarifa tu kuhakikisha ulinzi.

Kama mtu unaandamana ku protest, haki ya kidemokrasia na kikatiba, dhana nzima ya kuomba kibali kwa hao ubaotaka kuwa protest ili uweze ku protest ni contradiction.
 
"Wale wanaotamani kuingia barabarani nawakataza, wasithubutu, ni marufuku, wasitoke mtu hata mmoja sababu maandamo bila kibali ni haramu" ACP John Imori.


G3yddfFXMAAfm8w.jpeg
 
sa100 mbona kasema kutakuwa na maandamano ya kwenda kupiga kura, waliomba kibari? Yeye pia kaitisha ya kwake
 
Back
Top Bottom