ACP Ramadhani Kingai, wasalimie Kigoma

ACP Ramadhani Kingai, wasalimie Kigoma

Kazi ya kuwa polisi nchi hii ni ngumu sana. Unamlaumu Kingai kwa lipi? La Mbowe? Angefanyaje?
 
Kazi ya kuwa polisi nchi hii ni ngumu sana. Unamlaumu Kingai kwa lipi? La Mbowe? Angefanyaje?
Ulitaka afanyeje? Ukitenda ubaya jina lako halifutiki,nilipitia page ya ITV walipost uhamisho wa Kingai, wananchi walimpiga spana za kutosha kisa kesi ya Mbowe
 
Sema naona kapanda anaenda kua kamanda mkuu wa polisi Kigoma au nilisikia vibaya
 
Ethics za kazi huko polisi hamna.
Hivi na madudu yooote Kingai aliyo fanya akiwa Rco Arusha, Rpc Kinondoni kweli bado ana stahili kuwa kiongozi??

Madudu ni tafsiri tu,hata flash yenye window ukiiweka kwenye tv inasoma uchafu.
 
Mtu moja mjinga ni hakuna mfano, bure kabisa. Sasa gaidi anaachiwaje mbona hawakumfunga jela kama walivyokuwa wanataka. Very hopeless.
 
Back
Top Bottom