ACP Venance Mapala: Kioo kimoja cha Treni ya SGR kinagharimu sio chini ya Milioni 300

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Bei ya Kioo cha SGR Usipime

==

Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Venance Mapala kutoka Polisi Kikosi cha Reli Tanzania, akizungumza kuhusu changamoto na gharama kubwa za uharibifu wa miundombinu ya reli nchini.

"Kioo kimoja cha treni kinagharimu zaidi ya milioni 300, na uharibifu huu unasababisha hasara kubwa kwa serikali na ucheleweshaji wa huduma za usafiri wa reli."
 
Muongo huyu. Amepata wapi hiyo gharama? Ukweli ni kwamba hata huko Germany zinakoundwa hizo train, haijawahi kutokea eti wanabadilisha kioo cha train. Sasa hapa kwetu tunavinja vioo vya train?
 
View attachment 3254438
Hiyo ni bei ya faini wewe kama ukiaharibu sio walionunulia wao
 
Uthibitisho mwingine kuwa taifa lipo under wrong people.
 
Yaani hata iwe milioni 30 siwezi kuhamini

huyo acp form 4 alipata division ngapi? Anatumia cheti chake taaluma? Au cha marehemu
😂😂😂😂😂🤣🤣😂🤣😂😂🤣😂😂😂🤣😂😂Yaani Scania Mpya Dukani Ndiyo Kioo Cha Standard Gauge Railway
Akamatwe ACP Huyo Atafanya Tanzania Ijae Wizi
 
Muongo huyu. Amepata wapi hiyo gharama? Ukweli ni kwamba hata huko Germany zinakoundwa hizo train, haijawahi kutokea eti wanabadilisha kioo cha train. Sasa hapa kwetu tunavinja vioo vya train?
Mkuu si kuna ile case wale teenagers walirusha mawe yakavunja kioo? Kimepata Crack,huwezi kuendelea kutumia behewa lenye kioo chenye nyufa kwa usalama wa abiria. Kinaweza kubutuka na kujeruhi abiria.
 
Back
Top Bottom