Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu haujawahi kusafiri na train ya kati?Muongo huyu. Amepata wapi hiyo gharama? Ukweli ni kwamba hata huko Germany zinakoundwa hizo train, haijawahi kutokea eti wanabadilisha kioo cha train. Sasa hapa kwetu tunavinja vioo vya train?
Mikoa ya Dodoma na Singida ni mikoa hatari sana kwa kurushia train mawe.
Msipofunga vioo kuna hatari ya kupasuliwa vichwa.