Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Itakuwa alimaanisha milioni tatu.
Hata hio nyingiItakuwa alimaanisha milioni tatu.
Muongo huyu. Amepata wapi hiyo gharama? Ukweli ni kwamba hata huko Germany zinakoundwa hizo train, haijawahi kutokea eti wanabadilisha kioo cha train. Sasa hapa kwetu tunavinja vioo vya train?Wakuu
Bei ya Kioo cha SGR Usipime
==
Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Venance Mapala kutoka Polisi Kikosi cha Reli Tanzania, akizungumza kuhusu changamoto na gharama kubwa za uharibifu wa miundombinu ya reli nchini.
"Kioo kimoja cha treni kinagharimu zaidi ya milioni 300, na uharibifu huu unasababisha hasara kubwa kwa serikali na ucheleweshaji wa huduma za usafiri wa reli."
Hiyo ni bei ya faini wewe kama ukiaharibu sio walionunulia waoWakuu
Bei ya Kioo cha SGR Usipime
==
Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Venance Mapala kutoka Polisi Kikosi cha Reli Tanzania, akizungumza kuhusu changamoto na gharama kubwa za uharibifu wa miundombinu ya reli nchini.
"Kioo kimoja cha treni kinagharimu zaidi ya milioni 300, na uharibifu huu unasababisha hasara kubwa kwa serikali na ucheleweshaji wa huduma za usafiri wa reli."
View attachment 3254438
ππππππ€£π€£ππ€£πππ€£ππππ€£ππYaani Scania Mpya Dukani Ndiyo Kioo Cha Standard Gauge RailwayYaani hata iwe milioni 30 siwezi kuhamini
huyo acp form 4 alipata division ngapi? Anatumia cheti chake taaluma? Au cha marehemu
N A K A Z I AUthibitisho mwingine kuwa taifa lipo under wrong people.
Mkuu si kuna ile case wale teenagers walirusha mawe yakavunja kioo? Kimepata Crack,huwezi kuendelea kutumia behewa lenye kioo chenye nyufa kwa usalama wa abiria. Kinaweza kubutuka na kujeruhi abiria.Muongo huyu. Amepata wapi hiyo gharama? Ukweli ni kwamba hata huko Germany zinakoundwa hizo train, haijawahi kutokea eti wanabadilisha kioo cha train. Sasa hapa kwetu tunavinja vioo vya train?
Hio faini labda atalipa Mo na SSB si wengine tutafungwa tuHiyo ni bei ya faini wewe kama ukiaharibu sio walionunulia wao