Acsee 2013 results

Acsee 2013 results

Nasubiri one yangu tu! Porojo za nini sina presha wala nini!
 
Naam! Ni mimi nimesoma mara subiri tu utaiona tu hiyo one!
 
Basi hili jukwaa litavamiwa sasa hivi wameanza na matokeo watakuja na selection out haya watakukuja na maada za loan mb kibao tulieni mwaka huu acheni wenge!
 
Back
Top Bottom