ACSEE for private candidates

ACSEE for private candidates

AMOXYCILLIN

Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
17
Reaction score
1
Natarajia kufanya mtihani wa acsee 2016, kama mtahiniwa wa
kujitegemea; je , naweza kusoma masomo matatu ambayo hayapo kwenye mpangilio wa tahasusi (combination subjects) bila kuathiri matokeo?

Nataka kusoma geography, a/ mathematics na biology.
 
As private candidate unaweza kusoma masomo yoyote unayojickia kusoma kama una sifa za kusajiri mtihani wa kidato cha sita.

Labda jambo la kuzingatia ni kuwa makini na timetable ya mtihani wa kidato cha sita.

Ucje kuchukua masomo ambayo kwenye timetable yanapaswa kufanyika muda mmoja.Ukisha cheki timetable na kukuta yako separate katika muda ni free kuyachukua.

Angalia timetable za miaka iliyopita mara nyingi huwa azibadiliki hayo ndiyo yakwangu.
 
Nina dogo hataki kwenda chuo anataka kusoma advance lakn tokeo la o-level ana Kisw-B, eng-C, na D tatu za Geog, Histor na Civics... Je atafanikiwa kuruhusiwa kufanya mtihan wa form 6??
 
nina dogo hataki kwenda chuo anataka kusoma advance lakn tokeo la o-level ana kisw-b, eng-c, na d tatu za geog, histor na civics... Je atafanikiwa kuruhusiwa kufanya mtihan wa form 6??

wanataka credit 3 yeye anazo 2 , kama anaweza labda arudie mtihani
 
matatizo mengine jaribuni kwenda kwenye idara husika humu jf hatuna majibu sahihi kwa asilimia kubwa, be professional my brother for what you do, don't rely on hearsaying.
 
Nina dogo hataki kwenda chuo anataka kusoma advance lakn tokeo la o-level ana Kisw-B, eng-C, na D tatu za Geog, Histor na Civics... Je atafanikiwa kuruhusiwa kufanya mtihan wa form 6??

Akasome certificate tu huyo asikimbilie level nyingine maana hana credit 3 hapo yaani anatakiwa apate C katika masomo matatu
 
matatizo mengine jaribuni kwenda kwenye idara husika humu jf hatuna majibu sahihi kwa asilimia kubwa, be professional my brother for what you do, don't rely on hearsaying.

Lakini sio mbaya pia kupita humu kupata mawili matatu alafu ukiongeza na idara husika unakuwa na picha kamili
 
matatizo mengine jaribuni kwenda kwenye idara husika humu jf hatuna majibu sahihi kwa asilimia kubwa, be professional my brother for what you do, don't rely on hearsaying.

mi kweli mkuu,,umenipa wazo zuri. I will
 
as private candidate unaweza kusoma masomo yoyote unayojickia kusoma kama una sifa za kusajiri mtihani wa kidato cha sita.labda jambo la kuzingatia ni kuwa makini na timetable ya mtihani wa kidato cha sita.ucje kuchukua masomo ambayo kwenye timetable yanapaswa kufanyika muda mmoja.ukisha cheki timetable na kukuta yako separate katika muda ni free kuyachukua.angalia timetable za miaka iliyopita mara nyingi huwa azibadiliki.hayo ndiyo yakwangu.

nashkuru mkuu, ntaliafanyia kazi
 
Back
Top Bottom