Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau wa elimu za leo??
eti usahishaji mpya wa ACSEE principal inaanzia daraja lipi??
A up to D ndio principal pass aiseeee
ook..so hata wenye 4 wanaweza pangiwa chuo na TCU??
hy nimepata a/c B comm C na economics B...
UD wanaweza kunikubali hapo?!
ukitaka kuja UDSM make sure una cut off point atleast 5.5 kwny matokeo yako
wanapangiwa vyuo coz tcu wanaconvert A to A,B+ to B,B to C,C to D,D to E,E to S, S to F,F to F kwahiyo calculate mwenyewe then jitazame una sifa za kwenda chuo
hy nimepata a/c B comm C na economics B...
UD wanaweza kunikubali hapo?!
Hapana Mkuu mbona Necta Walishatoa Mchanganuo Kwamba ili mtu aingie chuo atleast awe na C mbili na D moja...na hyo ndo III-13
Hapana Mkuu mbona Necta Walishatoa Mchanganuo Kwamba ili mtu aingie chuo atleast awe na C mbili na D moja...na hyo ndo III-13
ook..so hata wenye 4 wanaweza pangiwa chuo na TCU??
ook..so hata wenye 4 wanaweza pangiwa chuo na TCU??
Confirmed;Principal Pass inaanzia C na hii ni kwa mujbu wa Kaimu Katibu Mkuu Necta,,,Ni kwel kwmb TCU kuptia guidbook walistate kwmb princpal inaanza D,lakn mwenye dhamana ya kuamua jambo hil ni Necta na cio Tcu,kwa iyo watakachokfanya tcu ni kurefine ii guidebook km Necta ilivyoinstruct,