Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Confirmed;Principal Pass inaanzia C na hii ni kwa mujbu wa Kaimu Katibu Mkuu Necta,,,Ni kwel kwmb TCU kuptia guidbook walistate kwmb princpal inaanza D,lakn mwenye dhamana ya kuamua jambo hil ni Necta na cio Tcu,kwa iyo watakachokfanya tcu ni kurefine ii guidebook km Necta ilivyoinstruct,
Alosema kule juu kwamba C inakuwa transformed into D ndo yuko na point, na kama hivi ndivyo ilivyo basi TCU wako sawa waliposema principle ni D ambayo kimantiki ni hiyo C ya kwenye matokeo.