Uchaguzi 2020 ACT, CHADEMA na NCCR pamoja na vyama vitakavyoona ni vema, waungane

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
566
Reaction score
82
Wamchague gwiji atakayenogesha ushindani na CCM.

Mgombea mwenza awe Fatma Karume
Waziri Mkuu - Zitto Kabwe
Waziri wa Sheria na Katiba - Tundu Lissu
Waziri wa Maliasili -- Mch Msigwa
Waziri wa Elimu - James Mbatia
Nk
 
Msajili wa vyama vya siasa alishasema kuwa muda wa kuungana umeshapita na kwa sasa haiwezekani....
 
Nccr wao wanaungana na tlp na ccm dhidi ya ACT na CDM
 
NCCR ni CCM B haiwezi kuwa miongon mwa vyama vitakavyoungana
 
Hata wakipewa na kura zote walizopata wapinzani kwenye chaguzi kuu za Burundi na Rwanda bado sioni upinzani ukishika dola.
 
Kumbe wakiungana tu hata kabla ya uchaguzi wanaunda baraza la Mawaziri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…