Uchaguzi 2020 ACT, CHADEMA na NCCR pamoja na vyama vitakavyoona ni vema, waungane

Uchaguzi 2020 ACT, CHADEMA na NCCR pamoja na vyama vitakavyoona ni vema, waungane

Msajili wa vyama vya siasa alishasema kuwa muda wa kuungana umeshapita na kwa sasa haiwezekani....
Hakuna Haja ya kuwasaidia watu mbumbumbu,kila mmoja anatafuta maslahi binafsi.Tulitegemea miaka 5 wangeboresha ummoja wao.
 
Hilo baraza la kuongoza nchi ya wapi.
Tunahukuru Mwnyekiti chadema amepunguza kelele za Lisu pale aliposema na yey anagombea urais kuanzia hapo Lisu kimya kwani alishaona yeye ni mgombea urais wa Ukawa na michango akaanzisha na hotuba kwa taifa vituko vya Lisu
 
Tundu Lissu ajawekwa hata kwenye ramani ya kugombea.yani F.Karume anathamani kuliko Lissu?
Lissu keshatumika sasa wamemtupa.
 
Nafikiri itakuwa vyema sana ila lazima waweke ulinzi mkali sana manake ccm ni wezi wenye uzoefu mkubwa tokea enzi za mkoloni.
 
Back
Top Bottom