ACT: Hatutafuata Maelekezo ya Msajili kumtengua Mpina kuwania Urais, tutafungua kesi Mahakamani

Hahaha, kesi ya nini ? Mlisema mtalinda kura nyie?
 
Kama ni maelekezo kutoka juu! Huenda kesi itasikilizwa mwaka kesho.
 
Samia hataki upinzani hata kama ni dhaifu kiasi Fulani kwake mpinzani wake ni Mzanzibari mwenzake Salim Mwalim tuu
 
Huu ni mchezo tu umechezwa CCM na ACT ili isionekane kua ACT ni CCM B ...ionekane na wao wanafamyiwa figisu
 

Mbona kwa serikali ya CCM ni simple tu. Labda wamuulize Dr. Malisa kesi yake imeishajeishaje....!!?

ACT wajue kuwa kwa Mpina kubaki ni jinsi gani CCM wataona kama atawaathili kwa kiwango gani.
 
Sidhani kama wa muda wa kuteua mgombea mwingine. Muda wa kuchukua fomu umeisha
Huyu Mpina nae useless kabisa anawezaje kukubali kutumiwa na Zitto? If he has any brains he should go back and contest his Kisesa constituency kama anaweza kuwathibiti wahuni!
He would have maintained his political stature if he had stayed out of this shit!
 
Huu ni mchezo tu umechezwa CCM na ACT ili isionekane kua ACT ni CCM B ...ionekane na wao wanafamyiwa figisu

Kwa hivyo ACT wamekubali kutopata ruzuku? Basi watakuwa wajinga Sana.
 
Mgambo wanalia na kukanyagana
 

Nilishangaa Mpina kukimbilia kwenye urais baadala ya ubunge.
 
Iliitwa na nani?. Halafu ni UKAWA sio CHADEMA.
Hakujawahi kuwa na chama cha siasa kinaitwa Ukawa, Lowassa alijiunga na chama cha chadema na ndio maana Marehemu Mzee mwinyi katika kampeni alikiita chadema kuwa ni ccm b.
 
Kwa hivyo ACT wamekubali kutopata ruzuku? Basi watakuwa wajinga Sana.
ACT ni Chama chao hakuna jipya kwenye hizo siasa ,halafu fununu zinasema makubaliano yalikua wagombea wawe wanawake Bwana Kabwe kamuweka mpina anayepiga spana zinazomuumiza mama wameona wale kichwa kwanza kama onyo ila atarudi huyo. Now CCM wanahitaji vyama vya upinzani kuliko wakati wowote ule.
 
Muda wa kuchukua na kurejesha fomu unaisha leo tarehe 27 Agosti 2025. Ninadhani haiwezekani tena hiyo imetoka.
 
Mmeshindwa kulinda fomu,mtaweza kulinda kura?mmebaji kulalamuka tu.ACT honyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…