rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kuwa na rasilimali nyingi sio sababu ya kugawa rasilimali kwa asiye kuwa nacho.Kwa hiyo muungano wenye faida ni kuimeza Zanzibar hivi nyinyi watanganyika mbona hamjielewi mbona MNA rasilimali nyingi tuu za kukutoweni katika umaskin hamtosheki mpaka kile kidogo cheti mukinganganie??
Kwenda wewe chuki zenu bite kwanza rejea katika uhalali wa huo unaoitwa muungano Kisha ndio uje kwenye hivyo vifunga hakuna ushahidi popote unaoonesha wazanzibar waliridhia muungano huu wa kimagumaashiKwa mujibu wa ibara ya pili ya katiba ya JMT, eneo la JMT ni eneo lote la iliyokuwa Tanganyika na eneo lote la iliyokuwa Jamhuri ya watu wa Zanzibar!.
Ardhi yote ni mali ya Watanzania chini ya udhamini wa rais wa JMT, ila Rais wa JMT kabla hajalihawanya eneo la Zanzibar, atajadiliana kwanza na rais wa Zanzibar, visiwa vyote vya bahari ya Hindi mkabala na Tanzania ikiwemo Zanzibar na Pemba ni mali ya JMT.
P
Sisi hatukuja kudai Mlima Kilimanjaro tunachokifai nikile ambacho Toka asili ni cheti wenyeweKuwa na rasilimali nyingi sio sababu ya kugawa rasilimali kwa asiye kuwa nacho.
Rejea historia muungano ulianza lini Kisha jiulize kabla hapo wazanzibar hawakuishi??Ndio kabisa kwa ukaribu wa coastline ya bara na Zanzibar, bara wana strong claim ya kisiwa kushinda Zanzibar.
Halafu wazanzibari mnafurahisha sana hivi unadhani kuna mtu atakują kujenga refinery ya LNG tena Zanzibar, wakati bara inajengwa.
Hiki ndio kitakachotokea hata sehemu za Zanzibar zikibainika zina commercial wells, refinery inatafanyika bara, serikali ya bara itawatoza hela kwa sababu mafuta sio maswala ya muungano.
Sasa kwa akili zenu huko mbele mtasema sisi nchi moja kwanini mtutoze kutumia refinery baada ya kuona mapato mtakayopata ni kiduchu.
Akili za viongozi wa ACT ni fupi sana, akitokea mtu wa kuuvunja huo muungano ndio akili zao zitakaa sawa.
Utakufa na chuki zako ZANZIBAR haitotawaliwa na watanganyika subir Zanzibar yenye mamlaks kamili inakuja izo ibara zote zipo kimagumaashi na yote hayo yaliwekwa waz katika bunge la katibaIbara ya kwanza ya Katiba ya JMT inasema “1. Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano".
Ibara ya pili ya katiba ya JMT inasema
2.-(1) Eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar, na ni pamoja na sehemu yake ya bahari ambayo Tanzania inapakana nayo.
Hivyo Zanzibar haina eneo, haina mipaka, Fungu Mbaraka ni eneo la JMT.
P
Nyinyi mna asili, wengi ni wahamiaji.Sisi hatukuja kudai Mlima Kilimanjaro tunachokifai nikile ambacho Toka asili ni cheti wenyewe
Kasome katiba ya muungano, mafuta ni swala la muungano.Ndio kabisa kwa ukaribu wa coastline ya bara na Zanzibar, bara wana strong claim ya kisiwa kushinda Zanzibar.
Halafu wazanzibari mnafurahisha sana hivi unadhani kuna mtu atakują kujenga refinery ya LNG tena Zanzibar, wakati bara inajengwa.
Hiki ndio kitakachotokea hata sehemu za Zanzibar zikibainika zina commercial wells, refinery inatafanyika bara, serikali ya bara itawatoza hela kwa sababu mafuta sio maswala ya muungano.
Sasa kwa akili zenu huko mbele mtasema sisi nchi moja kwanini mtutoze kutumia refinery baada ya kuona mapato mtakayopata ni kiduchu.
Akili za viongozi wa ACT ni fupi sana, akitokea mtu wa kuuvunja huo muungano ndio akili zao zitakaa sawa.
Mkuu dega , japo ni kweli Zanzibar haikuridhia muungano kwa ratification, lakini imeridhia by performance!.hakuna ushahidi popote unaoonesha wazanzibar waliridhia muungano huu wa kimagumaashi
Namsikiliza sana, hoja zake si za kisheria ni za chuki tu! Kwa mfano, anasema Tanganyika inaonea au kuinyonya Zanzibar kiuchumi. Hakuna hata siku moja ameonyesha hilo. Siku aliyojaribu kusema ni pale alipotoa hoja ya ''kugawana misaada 50%' hapo ndipo nilimdharau sana! sorryAma haya madai kwamba OMO hana hoja, huenda huelewi anachosema na hivyo huoni ndani. Huyu anatoa hoja za kisheria na sio za kisiasa.
Makubaliano ya Muungano hayakusema Tanganyika ifutike. Hebu rudi usome ! au muulize OMOHaina kwasababu ndo makubaliano ya muungano.
Tunazungumzia yale ya mkataba wa Muungano! yapo 11. Nitajie moja tu ambalo nimelisema la Muungano.Hapa ndo umechanganya mambo na ni kwasababu hujui. Nikukumbushe tu kwamba katika hiyo orodha uliyiandika kuna mambo tayari ni ya muungano.
Ninajifunza kila siku. Siku hizi hatusikii upuuzi wa '' tutavunja muungano''.Jitahidi kujifunza.
Zanzibar haina mchango katika JMT kwa mujibu wa Gavana wa Bank kuu kwa miaka zaidi ya 45.Mchango gani unaousemea. Na wakisema yameongezwa kinyemela hawajakosea kwani wanazungumzia muungano ambao ni mkataba wa kisheria.
Hivi anaposema Tanganyika inaionea Zanzibar ni muongo au ni wewe unajitia upofu na uziwi? Hivi inapokuja, kwa mfano, misaada kwa Tanzania halafu Zanzibar isipewe chochote sio kuionea?!Namsikiliza sana, hoja zake si za kisheria ni za chuki tu! Kwa mfano, anasema Tanganyika inaonea au kuinyonya Zanzibar kiuchumi. Hakuna hata siku moja ameonyesha hilo. Siku aliyojaribu kusema ni pale alipotoa hoja ya ''kugawana misaada 50%' hapo ndipo nilimdharau sana! sorry
Hapa nawe nenda karudie tena. Hapa ndo imeandikwa kinagaubaga kwamba kutakuwa na JMT na Zanzibar. Huenda unazungumza kwa kubahatisha. Hoja hazitolewi kwa kubahatisha.Makubaliano ya Muungano hayakusema Tanganyika ifutike. Hebu rudi usome ! au muulize OMO
Huenda unasahau unayoandika. Nimetoa maoni baada ya hoja yako kwamba "mambo ambayo Zanzibar hawataki yawe ya muungano .." halafu ukayaorodhesha. Mimi nimekuambia hayo unayoandika mengine tayari ni ya muungano, ingawa sikukushtua lkn moja wapo ni la Elimu ya juu ambalo ni la muungano. Au ulikuwa unasinzia? Mimi nilikuwa najadili hoja/andiko lako na sikuzungumzia kitu kingine. Rejea tena maandiko yako halafu lete hoja.Tunazungumzia yale ya mkataba wa Muungano! yapo 11. Nitajie moja tu ambalo nimelisema la Muungano.
Kusema ni kitu kimoja na kutekeleza ni kitu kingine. Haionekani kwamba unajifunza. Kile unchokiita upuuzi wa "tutavunja muungano" wala huwa hayasemwi. Na hayasemwi kwasababu Tanganyika, siku zote, unapozungumza swala la kuuvunja muungano inakuvunja wewe. Kinachosemwa, labda, ni haya kwa mfano: "muungano/Tanganyika u/inainyonya Zanzibar". Weka kumbukumbu zako sawasawa.Ninajifunza kila siku. Siku hizi hatusikii upuuzi wa '' tutavunja muungano''.
Watanganyika wanasema hata leo hewala!
Huyo Gavana alishawahi kukuambia pia kuwa BOT haiilipi Zanzibar mgao wa mapato yanayotoka BOT? Kama angekuwa muungwana angelisema na hili. Nenda kamuulize upate maelezo.Zanzibar haina mchango katika JMT kwa mujibu wa Gavana wa Bank kuu kwa miaka zaidi ya 45.
Huu ni uongo wa mchana kuzimu hakuna nyota. Akili za kuambiwa changanya na zako.Zanzibar inapewa 10% ya Bajeti yake kutoka Tanganyika
Ivi upo? Akope JMT halafu ikallipe Zanzibar? Hivi umeandika mwenyewe hili au umeandikiwa ukiwa mwenyewe hupo?Hailipi mikopo inayokuja kwa jina la JMT
Mkuu nikukumbushe tu kwamba bunge ni la JMT na linaendeshwa na JMT kutokana na mapato ya JMT yanayopatikana kutoka vyanzo mbali vikiwemo kodi na ushuru, faida ya BOT na vingine. Hivi vyote vinalipwa na Watanzania na wengine wanaopaswa kulipa.Btw Hata Wabunge pale Dodoma wanalipwa na kodi za Watanganyika
nakusubiri
Tanganyika ina watu milioni 60, Zanzibar ina 1.2 na kati yao nusu wanaishi Tanganyika.Hivi anaposema Tanganyika inaionea Zanzibar ni muongo au ni wewe unajitia upofu na uziwi?
Misaada inayopewa ni fadhila. Fikiria kwamba kuna misaada ya Trillioni 1, kwa mujibu wa OMO zigawanywe Bilioni 500 kila upande. Hivi hapa kuna fikra kweli ! Lakini pia Misaada ni Fadhila kwasababu hizi;Hivi inapokuja, kwa mfano, misaada kwa Tanzania halafu Zanzibar isipewe chochote sio kuionea?!
Ni hoja ya kipuuzi !nimejibu hapo juu. Watu laki 6 wagawane sawa na watu milioni 60.Swala la kutoa maoni ya kugawana misaada ya 50% kwako ni la kudharau? Kwake halikuwa la kudharau; alikuwa anamaanisha.
Muungano ulikuwa April 26 1964. Jina Tanzania lilikuja November 1, 1964Hapa ndo imeandikwa kinagaubaga kwamba kutakuwa na JMT na Zanzibar. Huenda unazungumza kwa kubahatisha.
Mkataba wa Muungano ulitaja Republic of Tanganyika and Republic of Zanzibar. April 26 ,1964Hoja hazitolewi kwa kubahatisha.
Elimu ya Juu si kati ya 11 ya Mkataba wa Muungano.Mimi nimekuambia hayo unayoandika mengine tayari ni ya muungano, ingawa sikukushtua lkn moja wapo ni la Elimu ya juu ambalo ni la muungano.
Tulioishi nyakati hizo, Wazanzibar wakitaka kitu wanasema ''msipofanya abcd'' tunavunja Muungano!Haionekani kwamba unajifunza. Kile unchokiita upuuzi wa "tutavunja muungano" wala huwa hayasemwi.
Zanzibar ilipewa 4.5% , Samia ameongeza hadi 9 % kwa ushahidi wa Mwenezi wa CCM Zanzibar Bw. Mbeto.Huyo Gavana alishawahi kukuambia pia kuwa BOT haiilipi Zanzibar mgao wa mapato yanayotoka BOT?
Kwa Taarifa 98% ya mambo ndani ya Bunge ni ya Tanganyika ikiwemo Bajeti.Mkuu nikukumbushe tu kwamba bunge ni la JMT na linaendeshwa na JMT kutokana na mapato ya JMT yanayopatikana kutoka vyanzo mbali vikiwemo kodi na ushuru, faida ya BOT na vingine. Hivi vyote vinalipwa na Watanzania na wengine wanaopaswa kulipa.
Nilitarajia utajibu, mimi niliuliza swali.MTanganyika ina watu milioni 60, Zanzibar ina 1.2 na kati yao nusu wanaishi Tanganyika.
Eneo na Uchumi wa Tanganyika huwezi kuweka katika mizani.
Mkoa mpya wa Simiyu ni mKubwa kuliko Zanzibar kwa kila kitu
Haya uliyooredhesha yote ni majukumu ya JMT. Zanzibar inahusikaje? Ya Ngoswe mwachie Ngoswe
Ni kweli. Ni serikali ya muungano iliyoelekeza kutafutwa jina la nchi hiyo hilo lilioko kwenye ni kubwa. Serikali hiyo ilikuwa chini ya Nyerere. Umeelewa hiloMuungano ulikuwa April 26 1964. Jina Tanzania lilikuja November 1, 1964
Mkataba wa Muungano haukutaja Tanzania kwasababu haikuwepo. Umeelewa?
Makusanyo ya kodi Zanzibar kwa 2023 ilikuwa Bilioni 58 kwa mwezi.
Kiasi hicho ni kampuni 3 tu za Tanganyika.
Sasa ikiwa hivyo ndo ina haki ya kuonewa? Nawe kwa Utanganyika wako unaona kuna haki ya kuwaonea wengine kwasababu wao ni kidogo?Tanganyika ina watu milioni 60, Zanzibar ina 1.2 na kati yao nusu wanaishi Tanganyika.
Eneo na Uchumi wa Tanganyika huwezi kuweka katika mizani.
Mkoa mpya wa Simiyu ni mKubwa kuliko Zanzibar kwa kila kitu
Makusanyo ya kodi Zanzibar kwa 2023 ilikuwa Bilioni 58 kwa mwezi.
Kiasi hicho ni kampuni 3 tu za Tanganyika.
Orodha hii ndefu yote inaihusu JMT na Zanzibar haipaswi kubeba garama ambazo haiihusu.Misaada inayopewa ni fadhila. Fikiria kwamba kuna misaada ya Trillioni 1, kwa mujibu wa OMO zigawanywe Bilioni 500 kila upande. Hivi hapa kuna fikra kweli ! Lakini pia Misaada ni Fadhila kwasababu hizi;
1. Zanzibar inapewa 10% ya Bajeti yake kwa kinachoitwa ''GBS'' kutoka Tanganyika. Muulize Mh. Saada Mkuya
Huenda umesahau kwamba sensa huwa inahesabu watu walioamkia sehemu husika siku ya sensa. Lakini wacha iwe hivyo. Kwa kuwa kwao kidogo ndo kunahalalisha wao kuonewa na kunyonywa haki zao. Bila shaka jawabu ni "hapana" hivyo anayo haki ya kulisemea hilo.Ni hoja ya kipuuzi !nimejibu hapo juu. Watu laki 6 wagawane sawa na watu milioni 60.
Yes laki 6 kwasababu lakini 6 wengine wanaishia Tanganyika kwa gharama za Tanganyika
Umesema kweli. Ulichokisahau ni kwamba baada ya hiyo Aprili, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (JMTZ), Nyerere - Mtanganyika - alitangaza kutafutwa kwa jina litakalokuwa fupi, na hivyo jina Tanzania likapitishwa na hukohuko Tanganyika, wala Zanzibar haikuhusika kwani haikuwa mamlaka yake.Muungano ulikuwa April 26 1964. Jina Tanzania lilikuja November 1, 1964
Mkataba wa Muungano haukutaja Tanzania kwasababu haikuwepo. Umeelewa?
Hili nimelieleza hapo juu.Mkataba wa Muungano ulitaja Republic of Tanganyika and Republic of Zanzibar. April 26 ,1964
Umeelewa!
Nililisema hili kwa sababu ya madai yako ya Wazanzibari kukataa elimu ya juu kuwa ya muungano, nami nikakuambia unazungumza mambo ambayo tayari ni ya muungano. Ni kweli pia kuwa Wazanzibari wanasema elimu ya juu imeingizwa katika orodha ya mambo ya muunganono, kinyemela, kibabe, kihuni n.k Kwani nasema uongo ndugu yangu?Elimu ya Juu si kati ya 11 ya Mkataba wa Muungano.
In fact waliozua hoja ni Wazanzibar wakisema imeingizwa kinyemela mwaka 1971.
Ni kweli ndio maana tunahoji kwanini kuwe na Wizara ya Elimu ya Juu Tanzania na Elimu ya Juu Zanzibar?
Jibu ni rahisi, ili Zanzibar waweze kunufaika na fursa zinazotokana na Tanganyika!
Naona hapa unasema uongo. Nikujulishe tu kwamba moja ya sababu ya kuuliwa Karume ni pale aliposema "muungano mwisho Chumbe" ingawa huenda kuna na sababu nyingine, kwahivyo Watanganyika hawajawahi kuwa kimya kuhusu muungano. Weka kumbukumbu sawa.Tulioishi nyakati hizo, Wazanzibar wakitaka kitu wanasema ''msipofanya abcd'' tunavunja Muungano!
Watanganyika walikuwa kimya na wengine hawakujua Zbar wanapewa fursa gani.
Nami naomba nikujibu kwa swali. Zanzibar itakosa nini ikiondoka kwenye muungano? Ukijibu hili swali nitakuwa na nafasi nzuri ya kukujibu.Nikuulize @Zawadini , Tanganyika itapoteza nini Zanzibar ikiondoka kwenye muungano!
Mimi nilikuuliza "huyo gavana alishawahi kukuambia ni lini Zanzibar ilipewa mgao wa mapato kutoka BOT? Mimi nataka jawabu ya hilo swali.Zanzibar ilipewa 4.5% , Samia ameongeza hadi 9 % kwa ushahidi wa Mwenezi wa CCM Zanzibar Bw. Mbeto.
Kumbuka BoT ni Uchumi wa Tanganyika, wanachopewa ni zawadi kwasababu hawana mchango wowote katika ukuaji wa BoT! Wana mtaji lakini tu hawakukuza. In fact ni nafuu kuwalipa gharama za mtaji kuliko kuwapa 9% kwasababu ni gharama kwa Tanganyika
Gavana Ndulu (R.I.P) alisimama mbele ya Umma na kueleza bila siri. Mara ya Mwisho Zanzibar ilichangia Muungano ikiwemo ukuaji wa BoT miaka 45! iliyopita
mbuko la hiyo 4.5 ni nini? Ungejua usingeandika haya!Kwa Taarifa 98% ya mambo ndani ya Bunge ni ya Tanganyika ikiwemo Bajeti.
Wabunge wa Zanzibar wapo tu , hawana sababu zozote za kuwepo.
Bajeti zinazowahusu W'bar : Ulinzi, Mambo ya ndani, Nje, na Muungano. Baada ya hapo wanatakiwa waondoke wapunguze mzigo wa posho.
Inawa wahusu nini kujadili Tamisemi, Utalii, Elimu, Afya, Madini, n.k.
Kodi za Zanzibar hata zile za TRA hazivuki Bahari zinabaki huko.
Hata ushuru wa VISA za Watalii zinabaki huko lakini Wafanyakazi wa Uhamiaji wanalipwa na Tanganyika
Tuonyeshe kutoka Bajeti ya Zanzibar wapi inaonyesha mchango katika JMT
Tuonyeshe Taasisi gani inatoza ushuru au kodi Zanzibar na kuleta Tanganyika
Tanganyika ina chanzo gani cha Kodi au hizo tozo za halmashauri zenu ?Namsikiliza sana, hoja zake si za kisheria ni za chuki tu! Kwa mfano, anasema Tanganyika inaonea au kuinyonya Zanzibar kiuchumi. Hakuna hata siku moja ameonyesha hilo. Siku aliyojaribu kusema ni pale alipotoa hoja ya ''kugawana misaada 50%' hapo ndipo nilimdharau sana! sorry
Makubaliano ya Muungano hayakusema Tanganyika ifutike. Hebu rudi usome ! au muulize OMO
Tunazungumzia yale ya mkataba wa Muungano! yapo 11. Nitajie moja tu ambalo nimelisema la Muungano.
Ninajifunza kila siku. Siku hizi hatusikii upuuzi wa '' tutavunja muungano''.
Watanganyika wanasema hata leo hewala!
Zanzibar haina mchango katika JMT kwa mujibu wa Gavana wa Bank kuu kwa miaka zaidi ya 45.
Zanzibar inapewa 10% ya Bajeti yake kutoka Tanganyika
Hailipi mikopo inayokuja kwa jina la JMT
Haina Bajeti kubwa kama Ulinzi, mambo ya ndani , nje, n.k.
Orodha ni kubwa inaendelea
Btw Hata Wabunge pale Dodoma wanalipwa na kodi za Watanganyika
nakusubiri