Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Katibu wa Habari na Uenezi wa ACT-Wazalendo, Salum Bimani amezungumzia mambo mbalimbali mbele ya Wanahabari leo Julai 15, 2025, ikiwemo kuhusu uchaguzi wa Kura za Maoni kuwapata Wagombea Ubunge na Uwakilishi pamoja na ACT kutokubaliana na kitendo cha Rais Mwinyi kupewa mwaliko wa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa jengo jipya la Tume ya Uchaguzi Zanzibar unaotarajiwa kufanyika Julai 16, 2025.