Hata sasa wapiga kura watakuwa kiduchu sanaKuna mavyama mengine yapo kimkakati nimeamini,
Laiti kama ACT na CHADEMA Wangesusia uchaguzi sidhani kama CCM ingeingia uchaguzi na vile vyama hewa 16, ingekua ni aibu dunia nzima maana idadi ya wapiga kura mwaka huu ingekua ni kituko cha karne!
Imagine vyama vyote vingesusia uchaguzi, CCM na serikali yake wasingetema bungo?
Waafrika Tunajikwamisha wenyewe kwa njaa kali
hapangekua na athari zozote za kisheria au kikatiba gentleman,Kuna mavyama mengine yapo kimkakati nimeamini,
Laiti kama ACT na CHADEMA Wangesusia uchaguzi sidhani kama CCM ingeingia uchaguzi na vile vyama hewa 16, ingekua ni aibu dunia nzima maana idadi ya wapiga kura mwaka huu ingekua ni kituko cha karne!
Imagine vyama vyote vingesusia uchaguzi, CCM na serikali yake wasingetema bungo?
Waafrika Tunajikwamisha wenyewe kwa njaa kali
Wewe haunaga akili hata skujibuhapangekua na athari zozote za kisheria au kikatiba gentleman,
hakuna mahali katiba inasema chadema na ACT wakisusia uchaguzi basi usifanyike,
huo ni upotoshaji.
Kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, hata kama watajitokeza wapiga kura wa3 tu nchi nzima, atakae pata kura 2 atatangazwa mshindi, ataunda serikali na kuongoza nchi bila mbambamba yoyote.
Mueleze na mwenyekiti wa chama chako 🐒
sihitaji jibu la mdau yeyote gentleman,Wewe haunaga akili hata skujibu
Nikusaidie kitu mkuu?Kuna mavyama mengine yapo kimkakati nimeamini,
Laiti kama ACT na CHADEMA Wangesusia uchaguzi sidhani kama CCM ingeingia uchaguzi na vile vyama hewa 16, ingekua ni aibu dunia nzima maana idadi ya wapiga kura mwaka huu ingekua ni kituko cha karne!
Imagine vyama vyote vingesusia uchaguzi, CCM na serikali yake wasingetema bungo?
Waafrika Tunajikwamisha wenyewe kwa njaa kali
Wanajitia umuhìmu chadema ambao cc walipa kodi hatuja watuma wakivunje kabisaaa hatuna shida ss tunataka ccm ishinde basiii wakaweke udongo baharini watengeneze nchi yao wakaishi ambako layman kama wao atakua sawasawa na rais cdf jaji mkuu etchapangekua na athari zozote za kisheria au kikatiba gentleman,
hakuna mahali katiba inasema chadema na ACT wakisusia uchaguzi basi usifanyike,
huo ni upotoshaji.
Kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, hata kama watajitokeza wapiga kura wa3 tu nchi nzima, atakae pata kura 2 atatangazwa mshindi, ataunda serikali na kuongoza nchi bila mbambamba yoyote.
Mueleze na mwenyekiti wa chama chako 🐒
Kuna mavyama mengine yapo kimkakati nimeamini,
Laiti kama ACT na CHADEMA Wangesusia uchaguzi sidhani kama CCM ingeingia uchaguzi na vile vyama hewa 16, ingekua ni aibu dunia nzima maana idadi ya wapiga kura mwaka huu ingekua ni kituko cha karne!
Imagine vyama vyote vingesusia uchaguzi, CCM na serikali yake wasingetema bungo?
Waafrika Tunajikwamisha wenyewe kwa njaa kali
Asusaye uliwa.
Uchaguzi utafanyika October vyema kabisa
Na ACT Tayari wamewakaribisha wale waliopo Chadema wanaotaman nafasi za ubunge
Chama kimoja kususa uchaguzi ni Kujipotezea muda
Sawa endeleeni kususaChama cha siasa siyo kampuni ya biashara.
Kama chama kimeridhika kuwa chama cha usindikizaji hicho hakina faida hata kikishiriki uchaguzi
Kwanza kuita vyama vyenye usajili wa kudumu ni hewa nimekudharau we mbwa koko, huna adabu, ht hivyo kwa CCM ht wangesusa uchaguzi ungeendelea.Kuna mavyama mengine yapo kimkakati nimeamini,
Laiti kama ACT na CHADEMA Wangesusia uchaguzi sidhani kama CCM ingeingia uchaguzi na vile vyama hewa 16, ingekua ni aibu dunia nzima maana idadi ya wapiga kura mwaka huu ingekua ni kituko cha karne!
Imagine vyama vyote vingesusia uchaguzi, CCM na serikali yake wasingetema bungo?
Waafrika Tunajikwamisha wenyewe kwa njaa kali
Kumbuk a kuwa act ilianzishwa na Serikali kupitia mfuko wa Hifadhi ya jamii na mfadhiri mkuu alikuwa kiongozi wa mfuko huo, lengo lake ilikuwa nikupunguza nguvu za chadema hivyo ndivyo ilkuwa inasemekanaKuna mavyama mengine yapo kimkakati nimeamini,