Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukurani mkuu kwa mchango wakoHoja yako imekaa kisheria zaidi na kusahau upande pili yani wa kisiasa.
Ukweli ni kwamba bila ACT kupeleka jina hakutakuwa na makamo wa pili wa rais na ukweli mwingine H.E hawezi kuteua bila kupokea jina kutoka act wala kukataa jina kutoka act
NB: anaweza legally ila politicaly hawezi
Legality vis a vis legitimacy