ACT Wazalendo au Rais wa Zanzibar ndio mwenye mamlaka ya kuteua Makamo wa Kwanza wa Rais?

Hoja yako imekaa kisheria zaidi na kusahau upande pili yani wa kisiasa.
Ukweli ni kwamba bila ACT kupeleka jina hakutakuwa na makamo wa pili wa rais na ukweli mwingine H.E hawezi kuteua bila kupokea jina kutoka act wala kukataa jina kutoka act
NB: anaweza legally ila politicaly hawezi
Legality vis a vis legitimacy
 
Shukurani mkuu kwa mchango wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…