Pre GE2025 ACT Wazalendo: Badala ya kuzalisha wataalamu tunazalisha chawa

Pre GE2025 ACT Wazalendo: Badala ya kuzalisha wataalamu tunazalisha chawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

"CCM imetufika pabaya leo watumishi wa umma wanashindana kujikweza ndio maana badala ya kuzalisha taifa la watalaam leo tuna taifa la 'chawa' na sasa hivi wamepita uchawa wamekuwa mende maana angalau chama akikaa kichwani ukinyoa nywele hadithi imekwisha, mende wanaingia kwenye vyoo wanaleta uchafu ndani ya nyumba na maradhi, mmesikia wapi duniani nchi ya kistaarabu ikiwa ina watumishi machawa,"

Othman Masoud Othaman Mwenyekiti wa ACT Wazalendo- Taifa alipokuwa kwenye ziara ya siku mbili kisiwani Mafia.


 
Back
Top Bottom