Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo: Hakukuwa na Uchaguzi - 13 Wameuawa, 130 Wamejeruhiwa, 120 Wamekamatwa na Polisi

Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo: Hakukuwa na Uchaguzi - 13 Wameuawa, 130 Wamejeruhiwa, 120 Wamekamatwa na Polisi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ACT ya zitto lol! Zito nakunukuu" SIWADANGANYI MAGUFULI ANAENDA KUMALIZA MUDA WAKE NA HATA BADILISHA KATIBA"
Zitto wewe sio mpinzani
Tunakujuwa wewe nani IP address haidanganyi
 
Zitto bana, Uchaguzi umeisha,hizo statements za kubalance mahesabu ya Mababeru hazisaidii
weka vyeti vya vifo au hospitali ku substaintiate uongo wako
hata wakati wa Corona Zitto alidai kila siku wanakufa watu 200
 
Back
Top Bottom