BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa
viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu mkuu wao this time na suo Zitto Kabwe tena kama ilivyo zoeleka.
Sababu ya kutaka picha isipigwe ni kwa sabaabu mwanzo waliipinga hio tume, ila bada ya kubanwa wakaamua kulegeza kamba, hivyo kama picha ingepihwa basi wangeoneiana hawan .simamo mbele ya wanachama wao na Watanzania kwa ujumla.
Hawa ACT wa ajanu sana,