BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Ni lini Zitto aliwahi kuwa na msimamo?Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa
viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu mkuu wao this time na suo Zitto Kabwe tena kama ilivyo zoeleka.
Sababu ya kutaka picha isipigwe ni kwa sabaabu mwanzo waliipinga hio tume, ila bada ya kubanwa wakaamua kulegeza kamba, hivyo kama picha ingepihwa basi wangeoneiana hawan .simamo mbele ya wanachama wao na Watanzania kwa ujumla.
Hawa ACT wa ajanu sana,
Kwani kuna chama cha siasa kinaitwa ACT hapa Tanzania?Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa
viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu mkuu wao this time na suo Zitto Kabwe tena kama ilivyo zoeleka.
Sababu ya kutaka picha isipigwe ni kwa sabaabu mwanzo waliipinga hio tume, ila bada ya kubanwa wakaamua kulegeza kamba, hivyo kama picha ingepihwa basi wangeoneiana hawan .simamo mbele ya wanachama wao na Watanzania kwa ujumla.
Hawa ACT wa ajanu sana,
Zitto Kabwe ni mmoja wa wanasiasa wa hovyo kabisa kuwahi kuwepo katika nchi yetu.Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa
viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu mkuu wao this time na suo Zitto Kabwe tena kama ilivyo zoeleka.
Sababu ya kutaka picha isipigwe ni kwa sabaabu mwanzo waliipinga hio tume, ila bada ya kubanwa wakaamua kulegeza kamba, hivyo kama picha ingepihwa basi wangeoneiana hawan .simamo mbele ya wanachama wao na Watanzania kwa ujumla.
Hawa ACT wa ajanu sana,
Hiyo Saccos ni sehemu ya adui mkubwa wa taifa hili; ni muhimu watambulike hivyo.Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa
viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu mkuu wao this time na suo Zitto Kabwe tena kama ilivyo zoeleka.
Sababu ya kutaka picha isipigwe ni kwa sabaabu mwanzo waliipinga hio tume, ila bada ya kubanwa wakaamua kulegeza kamba, hivyo kama picha ingepihwa basi wangeoneiana hawan .simamo mbele ya wanachama wao na Watanzania kwa ujumla.
Hawa ACT wa ajanu sana,
Ukweli ni kuwa hata hiyo "CCM" haipo; limebaki jina tu linalotumiwa na kundi hatari sana litakaloiangamiza nchi hii.Kwani kuna chama cha siasa kinaitwa ACT hapa Tanzania?
Wale ni CCM wanaovaa nguo za Zambarau. Elimika.
Nashindwa kupingana nawe, lakini ngoja nijaribu vingine, pengine utaona ninapotofautiana nawe.Hicho ni kikundi cha wasaliti