PreGE2025 ACT Wazalendo imezindua rasmi Operesheni Majimaji kuelekea Uchaguzi mkuu October 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Chama cha ACT Wazalendo kimezindua rasmi Operesheni MajiMaji, kampeni maalum inayolenga kuwaamsha Watanzania kulinda thamani ya kura zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Operesheni hiyo itafanyika nchi nzima kuanzia Julai 1 hadi Julai 15, 2025, ikiongozwa na viongozi wakuu wa chama hicho

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili na Naibu Katibu wa Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma wa chama hicho, Shangwe Ayo, kampeni hiyo inalenga kuunganisha wananchi wote katika kulinda demokrasia ya Tanzania kwa vitendo, hasa kwa kuhakikisha kura zao hazipotei wala kuporwa

Katika kuitekeleza Operesheni Maji Maji, viongozi wa ACT Wazalendo wamepangwa katika misafara miwili itakayozunguka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara

Mbali na mikutano ya hadhara, viongozi wa chama watakutana pia na wajumbe wa mikutano mikuu ya majimbo na kata pamoja na watiania wa ubunge na udiwani kwa ajili ya vikao vya ndani

Yaani Hawa jamaa ni wataalam wa kuzindua operation ndani ya Mwaka wanawa operation 20 na hazina matunda
 
Walichinja hadi ngamia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kuambulia kipigo...bila reforms hakuna uchaguzi 🐼

1000042381.jpg
 
Chama cha ACT Wazalendo kimezindua rasmi Operesheni MajiMaji, kampeni maalum inayolenga kuwaamsha Watanzania kulinda thamani ya kura zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Operesheni hiyo itafanyika nchi nzima kuanzia Julai 1 hadi Julai 15, 2025, ikiongozwa na viongozi wakuu wa chama hicho

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili na Naibu Katibu wa Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma wa chama hicho, Shangwe Ayo, kampeni hiyo inalenga kuunganisha wananchi wote katika kulinda demokrasia ya Tanzania kwa vitendo, hasa kwa kuhakikisha kura zao hazipotei wala kuporwa

Katika kuitekeleza Operesheni Maji Maji, viongozi wa ACT Wazalendo wamepangwa katika misafara miwili itakayozunguka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara

Mbali na mikutano ya hadhara, viongozi wa chama watakutana pia na wajumbe wa mikutano mikuu ya majimbo na kata pamoja na watiania wa ubunge na udiwani kwa ajili ya vikao vya ndani

View attachment 3388772
Kulinda kura? Ah aha ha, wapi huko wanalindaga kura baada ya uchaguzi
 
ACT Wazalendo ni Bibi harusi Wa CCM
 
Hiki chama nacho kwa maigizo kipo vizuri.
 
Hii chama inavituko sasa,
 
Hamna kitu hapa
 
Kinjeketile alikuja na hiyo operation babu zetu walikufa sana ngoja tuone hawa matapeli watapoishia haya masisiemu hawana mzaha na swala lakushinda dola
 
Back
Top Bottom