Kulinda kura? Ah aha ha, wapi huko wanalindaga kura baada ya uchaguziChama cha ACT Wazalendo kimezindua rasmi Operesheni MajiMaji, kampeni maalum inayolenga kuwaamsha Watanzania kulinda thamani ya kura zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Operesheni hiyo itafanyika nchi nzima kuanzia Julai 1 hadi Julai 15, 2025, ikiongozwa na viongozi wakuu wa chama hicho
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili na Naibu Katibu wa Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma wa chama hicho, Shangwe Ayo, kampeni hiyo inalenga kuunganisha wananchi wote katika kulinda demokrasia ya Tanzania kwa vitendo, hasa kwa kuhakikisha kura zao hazipotei wala kuporwa
Katika kuitekeleza Operesheni Maji Maji, viongozi wa ACT Wazalendo wamepangwa katika misafara miwili itakayozunguka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara
Mbali na mikutano ya hadhara, viongozi wa chama watakutana pia na wajumbe wa mikutano mikuu ya majimbo na kata pamoja na watiania wa ubunge na udiwani kwa ajili ya vikao vya ndani
View attachment 3388772
ACT Wazalendo ni Bibi harusi Wa CCMChama cha ACT Wazalendo kimezindua rasmi Operesheni MajiMaji, kampeni maalum inayolenga kuwaamsha Watanzania kulinda thamani ya kura zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Operesheni hiyo itafanyika nchi nzima kuanzia Julai 1 hadi Julai 15, 2025, ikiongozwa na viongozi wakuu wa chama hicho
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili na Naibu Katibu wa Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma wa chama hicho, Shangwe Ayo, kampeni hiyo inalenga kuunganisha wananchi wote katika kulinda demokrasia ya Tanzania kwa vitendo, hasa kwa kuhakikisha kura zao hazipotei wala kuporwa
Katika kuitekeleza Operesheni Maji Maji, viongozi wa ACT Wazalendo wamepangwa katika misafara miwili itakayozunguka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara
Mbali na mikutano ya hadhara, viongozi wa chama watakutana pia na wajumbe wa mikutano mikuu ya majimbo na kata pamoja na watiania wa ubunge na udiwani kwa ajili ya vikao vya ndani
View attachment 3388772
Linda Kura Kwa maji.Yaani wanaturudisha kwa Kinjekitile Ngwale kuhusu maji?Hamna kitu hapo.Wanajilengesha kwenye mitutu ya mjerumani.
Hiki chama nacho kwa maigizo kipo vizuri.Chama cha ACT Wazalendo kimezindua rasmi Operesheni MajiMaji, kampeni maalum inayolenga kuwaamsha Watanzania kulinda thamani ya kura zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Operesheni hiyo itafanyika nchi nzima kuanzia Julai 1 hadi Julai 15, 2025, ikiongozwa na viongozi wakuu wa chama hicho
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili na Naibu Katibu wa Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma wa chama hicho, Shangwe Ayo, kampeni hiyo inalenga kuunganisha wananchi wote katika kulinda demokrasia ya Tanzania kwa vitendo, hasa kwa kuhakikisha kura zao hazipotei wala kuporwa
Katika kuitekeleza Operesheni Maji Maji, viongozi wa ACT Wazalendo wamepangwa katika misafara miwili itakayozunguka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara
Mbali na mikutano ya hadhara, viongozi wa chama watakutana pia na wajumbe wa mikutano mikuu ya majimbo na kata pamoja na watiania wa ubunge na udiwani kwa ajili ya vikao vya ndani
View attachment 3388772
Hivyo ni vibweka.ππππππ
Linda Kura Kwa maji.
Wapiga Kura wanaogeshwa Kwanza kabla ya kwenda kupiga Kura.
Viashiria vya Wizi WA Kura vikianza wananchi wakapaza sauti "Maji"
Hii chama inavituko sasa,Chama cha ACT Wazalendo kimezindua rasmi Operesheni MajiMaji, kampeni maalum inayolenga kuwaamsha Watanzania kulinda thamani ya kura zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Operesheni hiyo itafanyika nchi nzima kuanzia Julai 1 hadi Julai 15, 2025, ikiongozwa na viongozi wakuu wa chama hicho
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili na Naibu Katibu wa Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma wa chama hicho, Shangwe Ayo, kampeni hiyo inalenga kuunganisha wananchi wote katika kulinda demokrasia ya Tanzania kwa vitendo, hasa kwa kuhakikisha kura zao hazipotei wala kuporwa
Katika kuitekeleza Operesheni Maji Maji, viongozi wa ACT Wazalendo wamepangwa katika misafara miwili itakayozunguka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara
Mbali na mikutano ya hadhara, viongozi wa chama watakutana pia na wajumbe wa mikutano mikuu ya majimbo na kata pamoja na watiania wa ubunge na udiwani kwa ajili ya vikao vya ndani
View attachment 3388772
Hamna kitu hapaChama cha ACT Wazalendo kimezindua rasmi Operesheni MajiMaji, kampeni maalum inayolenga kuwaamsha Watanzania kulinda thamani ya kura zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Operesheni hiyo itafanyika nchi nzima kuanzia Julai 1 hadi Julai 15, 2025, ikiongozwa na viongozi wakuu wa chama hicho
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili na Naibu Katibu wa Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma wa chama hicho, Shangwe Ayo, kampeni hiyo inalenga kuunganisha wananchi wote katika kulinda demokrasia ya Tanzania kwa vitendo, hasa kwa kuhakikisha kura zao hazipotei wala kuporwa
Katika kuitekeleza Operesheni Maji Maji, viongozi wa ACT Wazalendo wamepangwa katika misafara miwili itakayozunguka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara
Mbali na mikutano ya hadhara, viongozi wa chama watakutana pia na wajumbe wa mikutano mikuu ya majimbo na kata pamoja na watiania wa ubunge na udiwani kwa ajili ya vikao vya ndani
View attachment 3388772
Kinjeketile alikuja na hiyo operation babu zetu walikufa sana ngoja tuone hawa matapeli watapoishia haya masisiemu hawana mzaha na swala lakushinda dolaChama cha ACT Wazalendo kimezindua rasmi Operesheni MajiMaji, kampeni maalum inayolenga kuwaamsha Watanzania kulinda thamani ya kura zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Operesheni hiyo itafanyika nchi nzima kuanzia Julai 1 hadi Julai 15, 2025, ikiongozwa na viongozi wakuu wa chama hicho