Zanzibar 2020 ACT Wazalendo: Ismail Jussa apigwa vibaya na vikosi vya usalama Zanzibar na sasa yuko hospitali ya Makao Makuu Polisi Zanzibar

Allah alete wepesi inshallah, ameen. Sijuwi ni kwa faida ya nani, ushindi wa asilimia +70. Sidhani kama akili zilikuwa zikicharge waliopanga hayo matokeo. Maana hii ni sawa na hakukua na ushindani wowote, ndio maana ya kushinda kiasi hicho.

Salimin Amour alikuwa ndio mgombea ambae angalau alikuwa na watu wakipemda Zanzibar. Basi hakufikia hata asilimia 50, akabakia kubirua nambari. Sasa huyu kashinda asilimia zaidi ya 70! Taire!
 
Mpeni pole sana ajifunze kutii sheria bila shuruti.

Mwambie hussein mwinyi ndio rais wetu, kashatangazwa bado kuapishwa.
 
Nasikia hata Amani Karume huko twitter baada kusikia Pemba wameshinda majimbo yote akaandika kuwa haiwezekani 😀
 
Namuombea Afya njema, Mungu amsaidie uponyaji!
Siasa zisiwe chanzo cha kuumizana..!!
 
Orodha ya watuwatakaofiikishwa International Criminal Court (ICC) ishakuwa drafted. Wacha waendelee tu na unyama wao hatma yao haipo mbali.
 
Nimesikia hii pia, hii laana itamtafuna Magufuli na GENGE lake milele. Mungu ni wetu sote.
Mann! Kwani kaanza leo? Huo ni muendelezo tu. Huyu ashitakiwe akishamaliza muda wake...hata km itachukua miaka 20 katiba ikibadilika ila ashitakiwe tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…