kilama
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 2,745
- 1,989
Mauaji ya makusudi kwa kweli siyaungi mkono hata kidogo.Kuna kisingizio maarufu... "muungano utalindwa kwa gharama yoyote... mapinduzi daima!!" Pasi kumwaga damu za wazenji na kuwakandamiza watawala wanaamini zenjibari haitawaliki.
Damu za wahanga wanaouliwa hazitawaacha salama wauwaji
Mungu amsaidie Jussa afya njema na uponyaji.