Mauaji ya makusudi kwa kweli siyaungi mkono hata kidogo.Kuna kisingizio maarufu... "muungano utalindwa kwa gharama yoyote... mapinduzi daima!!" Pasi kumwaga damu za wazenji na kuwakandamiza watawala wanaamini zenjibari haitawaliki.
Damu za wahanga wanaouliwa hazitawaacha salama wauwaji
Ameen. Ila nasi tujiombee sana maana ukiona mwenzio ananyolewa usidhani u salama.Mauaji ya makusudi kwa kweli siyaungi mkono hata kidogo.
Mungu amsaidie Jussa afya njema na uponyaji.
Ni ccm tu hakuna mtu anayeweza kuumiza mtu bila sababu zaidi ya ccm.Usidanyike hivyo, watakuwa kina Zitto na wenzake waliopanga haya.
Kama nilivyosema, ni Zitto na wenzake tu na pia kuna Maalim Seif....yule ni kibaka toka zamani.Ni ccm tu hakuna mtu anayeweza kuumiza mtu bila sababu zaidi ya ccm.
Unamtisha nani? Hiyo ICC haina meno tena au bado mna msikiliza Lissu! Kumbuka alianza na MIGA!Orodha ya watuwatakaofiikishwa International Criminal Court (ICC) ishakuwa drafted. Wacha waendelee tu na unyama wao hatma yao haipo mbali.
Hahaha umemsahau chinja chinja Magufuli?!Kama nilivyosema, ni Zitto na wenzake tu na pia kuna Maalim Seif....yule ni kibaka toka zamani.
Jifunze kiswahili kwanza. mzanzibari gani wewe usojua kuandika kiswahili?Acha watandikwe.kama vipi waame nchi wakaishi kwengine atuwataki.