ACT - WAZALENDO kuanza ziara nje ya nchi ili kuihami demokrasia ya Tanzania

ACT - WAZALENDO kuanza ziara nje ya nchi ili kuihami demokrasia ya Tanzania

Narud
Narudia tena na tena ! Hakuna mtu mnafiki na opportunist kama Zitto Kabwe ! Hapo anatengeneza namna ya kupata pesa huko diaspora ! Huyu jamaa kuna siku mtakuja mjua vizuri

Haya kila la kheri ubeberuni mkatwange maji kwenye kinu muishie kuloa vifua!
Sisi Watanzania Tuko tayari kushirikiana na mtu yeyote atayesaidia kung'oa ccm madarakani
 
Sisi Watanzanua Tuko tayari kushirikiana na mtu yeyote atayesaidia kung'oa ccm madarakani
Sema wewe 'Mtanzanua' sio kuwasemea Watanzania ! Na mtasubiri mpaka kiama!😎 Zitto anaenda kutafuta hela we bidada !!!
 
Pumbavu zao
Viongozi wa ziara hiyo inayoanza mara moja ni Zitto Kabwe na Nassor Mazrui , ambao wamepanga kuonana na watanzania walio nje ya nchi pamoja Mabeberu ili kuzuia ukandamizaji wa demokrasia nchini Tanzania ambao umefikia kiwango cha kutisha .

Watanzania wote makini wako tayari kuthamini mchango wa mtu yeyote popote alipo atakayesaidia kuhami na kutetea demokrasia na utu wa Mtanzania .

Kila la heri .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
monde arabe pole sana ndugu lakini kwa umri wa Mh Rais anaweza kunizaa tu mbona! Yote kwa yote awe kanizaa au hajanizaa lakini sijaona cha kunifanya nisimpe kura yangu.
 
Back
Top Bottom