ACT Wazalendo: Kufungiwa kwa Gazeti la Mwananchi Mtandaoni ni kuminya Uhuru wa Habari

Naanza kukumbuka alipofungulia magazeti "alisema" ukiniparua na Mimi nitakupatia " ah hapana chawa wangu wata kuparua @ 4R , Resilience, Reform , Reconciliation
......,
 
Watu walipoingia kushika hatamu, JPM alionekana kama alifanya ukatili mwingi kuwafungia hawa jamaa, alibezwa, alikashifiwa, alitukanwa. Sasa wameona wenyewe jinsi wapinzani walivyo wahuni.
Niliwahi kusema, kwenye uchaguzi ujao, bila karata ya JPM, hawa jamaa hawatoboi, hususan kwenye majimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…