ACT Wazalendo kuhamasisha kulinda kura ni uchochezi

ACT Wazalendo kuhamasisha kulinda kura ni uchochezi

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Naona ACT walisaini vitu ambavyo hawakubaliani navyo.

Kwa sasa wanahamasisha wananchi kulinda kura, hilo siyo jukumu au wajibu wetu. Sisi ni kutiki na kwenda kusubiri matekeo hadi yatangazwe na tume huru ya uchaguzi.

Ikiwa ACT hawana Imani na Tume ya Uchaguzi, basi kaeni pembeni kuliko hii approach yenu ya kutaka kuleta vurugu.

Nawakumbusheni tu kuwa jeshi la polisi lipo imara, na linafanya kazi kwa mujibu wa sheria. Mtu mwingine akitaka kuingalia wajibu wa jeshi la polisi, atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.

BINAFSI NI MUHUMINI WA REFORMS KWANZA, THEN ELECTION.
 
Waongo hao wanatafuta namna ya kuwafanya wananchi wanojielewa waende kupiga kura, jambo ambalo halitawezekana tena.

Tume ya uchaguzi iliisha sema hakuna mtu anakibali cha kulinda kura, unailinda inaenda wapi? Wakasema Hilo ni jukumu lao.

Polisi waliisha sema ukipiga kura nenda nyumbani , kubaki unazagaa zagaa maeneo ya kituoni utakamatwa kama mualifu mwingine yeyote.

Sasa wao hao ACT mamlaka ya kulinda kura wamepewa na nani?

Kuilinda kura yako isipotee ni kutokuipeleka kituoni, kaa nayo nyumbani haitaibiwa kamwe.
 
Wamwibie nani kura au wajiibie wenyewe, kwani kuna tofauti gani kati ACT na CCM, ACT+CHAUMA=CCM
 
Naona ACT walisaini vitu ambavyo hawakubaliani navyo.

Kwa sasa wanahamasisha wananchi kulinda kura, hilo siyo jukumu au wajibu wetu. Sisi ni kutiki na kwenda kusubiri matekeo hadi yatangazwe na tume huru ya uchaguzi.

Ikiwa ACT hawana Imani na Tume ya Uchaguzi, basi kaeni pembeni kuliko hii approach yenu ya kutaka kuleta vurugu.

Nawakumbusheni tu kuwa jeshi la polisi lipo imara, na linafanya kazi kwa mujibu wa sheria. Mtu mwingine akitaka kuingalia wajibu wa jeshi la polisi, atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.

BINAFSI NI MUHUMINI WA REFORMS KWANZA, THEN ELECTION.
Muumini... siyo Muhumini!
 
vijana wa Chadema acheni shobo kwa ACT. KIla apamabane na hali yake
 
Back
Top Bottom