ACT WAZALENDO Kuhusu Kusitishwa kwa Misaada ya Afya na Serikali ya Marekani

Unganeni na CDM kuhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi la sivyo mtabaki kuiomba serikali ya CCM ifanye....
 
Serikali iwasilishe bungeni bajeti ya nyongeza (Supplementary Budget) ya Shilingi bilioni 263 ili kuziba pengo la fedha zilizositishwa na wafadhili,

Yaani hiki kiasi ndicho imekuwa kinapokelewa TZ na serikali yetu kama misaada iliyo sitishwa kwa sasa?
 
Hivi pesa zinazofujwa kwa mwaka ni kiasi gani?.
Mheshimiwa Rais,
Kuwa mkali, pambana na wezi wa fedha za umma, kama sheria zilizopo ni butu tunga sheria zingine kali zaidi kupitia bunge.
Naumia sana.
 
Kipaumbele chetu ni kusalia madarakani, kuhusu raia wenye Ukimwi serikali haijawatuma kwenda kujitaftia matatizo. ~ Aliskika mkuu wa mkoa flani mfupi kuliko wote.
 
Wapuuzi wakubwa nyie ACT, pesa za serikali zinafujwa hadi watu wajinga kama akina mwijaku wanapewa migao, pesa hizo zitumike kucover mahitaji ya dawa acheni propaganda za kichawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…