Pre GE2025 ACT Wazalendo kuiingiza tena mkenge CHADEMA katika chaguzi 2024 na 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Once a traitor always a traitor...unapotea njia wakati wa kwenda sio wa kurudi
 
Once a traitor always a traitor...unapotea njia wakati wa kwenda sio wa kurudi
 
Tangu huyu mama alipoingia madarakani angekuwa na nia njema 2024/25 uchaguzi mkuu ungefanyika chini ya katiba mpya.

Sembuse 2026 au 27?

Siyo kuwa nia yake ni kulazimisha liwalo liwe ila yeye ni hadi 2030?
 
Ndio maana mimi nikashauri, uchaguzi usogezwe ili iwe kampeni ya kuandika katiba mpya, kufanya referendum na kutegemea sera za taifa.
 
Ndio maana mimi nikashauri, uchaguzi usogezwe ili iwe kampeni ya kuandika katiba mpya, kufanya referendum na kutegemea sera za taifa.

Unaona je basi usogezwe Hadi 2025/26 ufanyike chini ya katiba mpya?
 
Unaona je basi usogezwe Hadi 2025/26 ufanyike chini ya katiba mpya?
Tatizo ni kuwa wanachelewesha makusudi na once akiisha chaguliwa mtu kuwa Rais ndio humwambii kitu. Nafikiri muda mzuri wa kuwabana ni sasa kabla ya uchaguzi.
 
Hivi vyama kama ACT-Wazalendo si ndio vyama rafiki na CCM.
 
Nyingine ni kuungana na kuweka mgombea mmoja CHADEMA msikubali kabisa mwami ni kibaraka ilitakiwa waungane tangu 2019/20.Mwami mjanja sana
Mbowe anamjua sana Mstaafu, amefanya naye kazi ndani ya chama na nje ya Chama. Sijui kwa nini huwa anakubali kulaghaiwa na huyu tapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…