ACT Wazalendo Kupambania Mwenyekiti wa ngome ya wanawake ACT Janeth Ritte kuachiliwa huru

ACT Wazalendo Kupambania Mwenyekiti wa ngome ya wanawake ACT Janeth Ritte kuachiliwa huru

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu,

Kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii instagram wa Chama cha ACT Wazalendo wameweka picha ya kipeperushi yenye maandishi yanayodai Janeth Ritte aweze kuachiliwa huru

Je, kwa njia hii wataweza kweli kufanikiwa kupata uhuru wa Janeth Ritte?



#FreeJanethKiongozi wetu bado yuko mikononi mwa polisi..jpg
 
Back
Top Bottom