ACT Wazalendo kuzindua Ofisi Mpya ya kisasa huku CHADEMA wakiwa wamepanga uswahilini zaidi ya miaka 20

Tumia akili, unataka Chadema wamiliki jengo la ofisi katika zama za watu wenye mikakati ya kuumizana, kesho yake isemwe ibomolewe😊. Huo mfano wa risk mojawapo.

Kama hauamini hilo, jiulize kwanini vyama vya siasa bado havifanyi siasa huru, hawaruhusiwi kuandaa majukwaa.

Hakuna wapaza sauti masuala muhimu yanayogusa maisha ya mwananchi yakiwa hayaendi sawa.
 
Yule mchumia tumbo mmachame anakula hela zote hakumbuki hata kujenga ofisi ya kisasa ya chama , mtakaa lini kwenye banda la kuku hilo
 
Bora hata CDM hawakujenga hiyo ofisi maana ingeishia kuchomwa kama zinavyochomwa ofisi nyingine za CDM, na wakati huohuo polisi hawafanyi uchunguzi wowote wa kina.
Kisha wakishazichoma wana msingizia mbowe.... utasikia wanatafuta kiki
 
Penye njia pana njia Act wazalendo wana nia thabiti ya kuwa ruling political party.

Chadema imejaa waswahili na wajanja ambao hawana nia njema kabisa.View attachment 2396496
View attachment 2396497
hatukushangai
kama uliamini kwamba uchaguzi wa 2020 ulikuwa huru na wa haki na ukanengua kushangilia
leo lipo wapi jitu katili liliokqiba uchaguzi?
hovyo kabisa
 
Act ni washirika wa ccm. Pia chama ni kufikia watu ndomana magari nibora sio kukaa ofisi za kifahari kutafuna pesa za usisiemu bii
 
hatukushangai
kama uliamini kwamba uchaguzi wa 2020 ulikuwa huru na wa haki na ukanengua kushangilia
leo lipo wapi jitu katili liliokqiba uchaguzi?
hovyo kabisa
Jengeni ofisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…