ACT Wazalendo mfikishieni salamu Ismail Jussa kuhusu umuhimu wa kodi

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Nimeona Clip moja huko nyumbani kwetu Kizimkazi Bw.Ismail Jussa, kumbuka huyu ni mwanasheria, akilalamika jukwaani na kuwafanya watu majuha kuwa serikali ieleze sababu za kuwakamua watu kodi.

Sasa mimi am a politician but Ismail Jussa naomba usome hapa kuhusu Theoritical concepts behind taxation.

Bw.Jussa, unayejiita chawa wa marehemu Maalim Seif there are many answers kuhusiana na serikali kutoa kodi na and one of the answers is that taxation is the handmaid for raising revenue to meet government expenditure.Na Jussa you knowe very well that the govt is duty bound to provide social services, maintain law and order, ensure defence and other development issues.

Sasa serikali gani mnayoitaka nyie ACT isiyotoza kodi kwa wananchi?

Acheni kudanganya wananchi, hamna uwezo wa kushika dola, mnataka kutesa tu wananchi
 
Kodi zinatumika kijinga, kununua V8, wizi, matamasha ya hovyo, misafara isiyo na tija, ufisadi n.k
 
Nimeona Clip moja huko nyumbani kwetu Kizimkazi Bw.Ismail Jussa, kumbuka huyu ni mwanasheria, akilalamika jukwaani na kuwafanya watu majuha kuwa serikali ieleze sababu za kuwakamua watu kodi.

Sasa mimi am a politician but Ismail Jussa naomba usome hapa kuhusu Theoritical concepts behind taxation.

Bw.Jussa, unayejiita chawa wa marehemu Maalim Seif there are many answers kuhusiana na serikali kutoa kodi na and one of the answers is that taxation is the handmaid for raising revenue to meet government expenditure.Na Jussa you knowe very well that the govt is duty bound to provide social services, maintain law and order, ensure defence and other development issues.

Sasa serikali gani mnayoitaka nyie ACT isiyotoza kodi kwa wananchi?

Acheni kudanganya wananchi, hamna uwezo wa kushika dola, mnataka kutesa tu wananchi
Hivi ACT wana lengo lolote? au wapo wapo wakitegemea visiwani
 
Back
Top Bottom