Uchaguzi 2020 ACT Wazalendo: Mgombea Ubunge wetu jimbo la Ruangwa avamiwa na kutekwa akiwa nyumbani kwake. Apatikana akiwa ametupwa porini Mkuranga

Ruangwa ni jimbo lililokuwa linaongozwa na Mbunge yupi? Hebu tuanzie hapo kwanza!!
 
Aisee

Aisee! Hii serikali ya CCM inaongozwa na WASHENZI na WENDAWAZIMU, Mwalimu Nyerere hakukosea kumuita kwa majina hayo Nduli Idd Amin Dadaa.
Nakumhuka maneno ya Mwalimu alituasa akisema kwamba " huwezi kiongozi wetu ukaongoza nchi kuhuni huni... wananchi hawajui kesho utasema nini, kama.unataka uhuni nenda karande rande mabarabani huko"

Kweli mwalimu aliona mbali mno.
 
kaka unamuandama zitto tu. Boara akutie ndo utamheshimu. Pumbavu wewe. huko kwenye chama chako cha wauwaji, watekaji,watia watu kwenye mifuko ya sandarusi, wezi na majambazi hakuna wanaosema uongo? Pumbavu
 
Hawa mbwa ccm wanakera sn yani..... 😒😒
 
kaka unamuandama zitto tu. Boara akutie ndo utamheshimu. Pumbavu wewe. huko kwenye chama chako cha wauwaji, watekaji,watia watu kwenye mifuko ya sandarusi, wezi na majambazi hakuna wanaosema uongo? Pumbavu
Basi Mzee; naona unadhani wote ni wapumbavu kama wewe; hasira siyo suluhu. Control emotions zako kwani unaweza kupata ugonjwa wa moyo iwapo unalipukalipuka hivyo.
 
Sasa katika chama chenu ameshika nafasi ya pili halafu anatekwa ili iweje Sasa au Mambo hayo ni ya ndani ya chama husika!?
 
Ntarahamwe wameshaanza kila uchaguzi Ni lzm wamwage damu zetu
 
PM na Jafo ni watu watakiwao wazilinde Sana image zao kwenye Jamii Kama viongozi wa mfano na tegemeo, hivo wajitahidi kusiwepo na hata doa au tetesi juu ya uadilifu wao kwa Jamii.
 
🤨
 
Inaonesha kassim anataka apite bila kupingwa yaani[emoji1787] jambo ambalo haliwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…