Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 Aug 15, 2020 #121 Haya sasa; Nimeipata hii huko mtandaoni
M Missile of the Nation JF-Expert Member Joined May 24, 2018 Posts 15,101 Reaction score 56,054 Aug 15, 2020 #122 Kichuguu said: Haya sasa; Nimeipata hii huko mtandaoni Click to expand... Huyu maelezo yake hayajanyooka, yanajichanganya sana. Pia tukio la utekaji limemkuta pia mgombea wa ACT siyo kiongozi wa CHADEMA tu huko Ruangwa. Mgombea wa ACT kapigwa, kaumizwa kwelikweli! Inaonyesha kuna uhuni unafanywa huko Ruangwa ili waziri mkuu apite bila kupingwa!
Kichuguu said: Haya sasa; Nimeipata hii huko mtandaoni Click to expand... Huyu maelezo yake hayajanyooka, yanajichanganya sana. Pia tukio la utekaji limemkuta pia mgombea wa ACT siyo kiongozi wa CHADEMA tu huko Ruangwa. Mgombea wa ACT kapigwa, kaumizwa kwelikweli! Inaonyesha kuna uhuni unafanywa huko Ruangwa ili waziri mkuu apite bila kupingwa!
sheiza JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 7,640 Reaction score 11,680 Aug 15, 2020 #123 Babati said: Hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kujenga uwanja wa mpira Click to expand... We kweli sio mwana ruangwa.
Babati said: Hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kujenga uwanja wa mpira Click to expand... We kweli sio mwana ruangwa.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Aug 15, 2020 #124 mkombengwa said: Hata hilo LA uwanja wa mpira siyo LA maana...TUTAKULA UWANJA? Click to expand... Kabisa mkuu
mkombengwa said: Hata hilo LA uwanja wa mpira siyo LA maana...TUTAKULA UWANJA? Click to expand... Kabisa mkuu
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Aug 15, 2020 #125 sheiza said: We kweli sio mwana ruangwa. Click to expand... Mwenyewe
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Aug 15, 2020 #126 Bado tu jamaa wanajiteka.