Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
- #21
Ngoja tuvute subra tuoneKuna jambo la kitechniki linafanyika tusubiri mambo yataeleweka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuvute subra tuoneKuna jambo la kitechniki linafanyika tusubiri mambo yataeleweka tu.
Mkuu serikali ya vyama vinavyoungana wanakaa na kukubaliana watakapochukua serikali wanapeana "positions " ili kuendesha serikali.unaweza kuangalia kwa mfano nchi ya Kenya.Sasa kama Lissu ndiye aneyeuzika, Je kama Lissu akashinda urais, ACT nayo itakuwa chama tawala au itaendelea kuwa chama cha upinzani?
Lissu atatekeleza Ilani ya ACT au ya CHADEMA?
Na je ACT ikimuunga mkono Lissu, wamekubalianaje kwenye suala la kuachiana majimbo ya wabunge?
Umoja ni nguvu,utengano ni udhaifu.Kama Lisu ndiye pekee anauzika,sioni ni nini kinachowaliza.
Sasa Membe anaathiri vipi mauzo ya Lisu kama ndiye pekee anayeuzika?
Huu ndio ukweli.Act in haki yao, japo membe kaenda Act ili kutimiza ndoto yake ya kugombea urais.mwakani anawaachia chama chao
Bila kusahau Ruzuku, 2015 UKAWA ilowapa Ruzuku CDM lakini sijui Kama waligawana na akina Mbatia na Kina Makaudi. Wasisahau pia kuwa Zitto ana Political ambutions zake na akicheza karata zake vizuri anaweza kwenda kuwa kiongozi wa Kambi upinzani na hatimae kuwa Main Opposition Part hali itakayomfanya 2025 awe Potential Candidate wa Opposition. Lakini pia CDM msisahau kuwa mlishawahi kufanya an attempt kumumaliza kisiasa Zitto na bado hiyo kumbukumbu anazo
Mkuu serikali ya vyama vinavyoungana wanakaa na kukubaliana watakapochukua serikali wanapeana "positions " ili kuendesha serikali.unaweza kuangalia kwa mfano nchi ya Kenya.
Exactlywatu wanataka kuongeza ruzuku ya chama
Bila kusahau Ruzuku, 2015 UKAWA ilowapa Ruzuku CDM lakini sijui Kama waligawana na akina Mbatia na Kina Makaudi. Wasisahau pia kuwa Zitto ana Political ambutions zake na akicheza karata zake vizuri anaweza kwenda kuwa kiongozi wa Kambi upinzani na hatimae kuwa Main Opposition Part hali itakayomfanya 2025 awe Potential Candidate wa Opposition. Lakini pia CDM msisahau kuwa mlishawahi kufanya an attempt kumumaliza kisiasa Zitto na bado hiyo kumbukumbu anazo
Aluta continua!Kuna jambo la kitechniki linafanyika tusubiri mambo yataeleweka tu.
Sasa kama Lissu ndiye aneyeuzika, Je kama Lissu akashinda urais, ACT nayo itakuwa chama tawala au itaendelea kuwa chama cha upinzani?
Lissu atatekeleza Ilani ya ACT au ya CHADEMA?
Na je ACT ikimuunga mkono Lissu, wamekubalianaje kwenye suala la kuachiana majimbo ya wabunge?
Kama Lisu ndiye pekee anauzika,sioni ni nini kinachowaliza.
Sasa Membe anaathiri vipi mauzo ya Lisu kama ndiye pekee anayeuzika?
Hivi nyie viumbe mnaamini mtashinda mbele ya hii tume na katiba iliyopo??
Daaah Huo muda wa kupiga kura bora nipige ulabu tuu huku na ruka debe la rege za luck Dube
Anapunguza kura na kutoa nafasi kwa magufuli kushinda
Hapa umeongea point napigia msitari maneno "Wananchi wanayemtaka". Kwa hiyo wananchi wakikutaka basi watakupa kura tu hata kama kwenye karatasi za kura kuna wagombea 100Kura zinapigwa na wananchi siyo tume sasa wananchi wakishachagua kiongozi wanayemtaka tume kazi yake ni kutangaza tu na kura zinahesabiwa hadharani kila kituo
ACT hawana impact Tz bara but ZanzibarSasa kama Lissu ndiye aneyeuzika, Je kama Lissu akashinda urais, ACT nayo itakuwa chama tawala au itaendelea kuwa chama cha upinzani?
Lissu atatekeleza Ilani ya ACT au ya CHADEMA?
Na je ACT ikimuunga mkono Lissu, wamekubalianaje kwenye suala la kuachiana majimbo ya wabunge?
Chadema walijisahau kuwa Safari ya Kisiasa Ni long-term sio short term wakafukuza akina zito kabwe Kama mbwa na akina duni Haji ambao kipindi hiki wangewafaaHakuna ujanja ujanja Safari hii kila mmoja ashinde mechi zake. Kila Chama kina haki ya kusimamisha wagombea sio CDM pekee yake. Huyo TL unaesema atashinda sijui atashindaje ambapo hataweza hata kupata wabunge 20?.
Sio kweli mbona Halmashauri ya Ujiji iko Chini ya ACT wazalendo ? Acheni kutapa tapa Chadema bara hakina ila Lowasa na Slaa ndio walikuwa na nguvu bara ya kufanya Chadema ishinde baraACT hawana impact Tz bara but Zanzibar
Nimesikitishwa sana na kitendo cha ACT kumteua Benard Membe kuwania urais JMT.
Huu naweza kuuita ubinafsi japo bado sijafahamu kama kutakua na makubaliano ya kumsimamisha mgombea mmoja kwa vyama vyote vya upinzani kwaniaba.
Ni kweli Membe ni mgombea potential kwa ACT wazalendo (japo mie siungi mkono hoja hii). Hili ni kosa ambalo lilifanywa na chadema mwaka 2015 ambao walimteua Edward lowassa lakini akaja kuwageuka mbeleni baada ya kuukosa urais. We learn through experience. Kama ACT wazalendo hamkujifunza hili kwa chadema basi ni either wabinafsi ama mna shinikizo kutoka upande wa pili.
Ushauri wangu.kwa sasa Tanzania nzima na dunia inajua Tundu Tundu lisu ndio kiongozi pekee wa upinzani ambae anaweza kupambana na ccm na akaiishinda.hili hata magufuli analijua ( refers hotuba zake za hivi karibuni).
Tafadhali Zitto angalieni namna ya kumsimamisha mgombea mmoja kwa urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania nae awe ni Tundu Lissu. Nawahakikishia mtafanikiwa lakini mkiuvunja umoja wenu hamtafanikiwa.
Kila la kheri!