ACT Wazalendo, mnapata wapi nguvu ya kushiriki chaguzi zilizojaa dhuluma?

ACT Wazalendo, mnapata wapi nguvu ya kushiriki chaguzi zilizojaa dhuluma?

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,905
Reaction score
4,054
Ujinga sio tusi bali kutojua jambo fulani basi huenda ukawa mjinga katika jambo hilo.

Sasa wanataka kushiriki uchaguzi Jimbo la konde bila kutupa majibu ya maswali yafuayayo

1) Je, mmeahidiwa kupewa nakala ya fomu za matokeo kwa kituo na wakati wa majumuisho?
2) Je, mnaruhusiwa kuingia na simu ktk majumuisho ya kura incase kuna dharura kueza kuwajulisha viongozi wenu
3) Je, mmeruhusiwa kukaa m 200 ili muweze kulinda kura.
4) Je, tume imeajiri watumishi wake au bado mkurugenzi na makada wa CCM ndio watakaosimamia huo uchaguzi?

Sasa km baazi tu ya maswali hapo juu na mengine sijawahoji mnapata wapi nguvu ya kushiriki chaguzi ambazo zimejaa dhuluma?

Kama nyie hamtumiki, sio wasaliti basi waambieni ccm waweke tume guru ndio mchskato uendelee.
 
ACT sio wajinga.

Hujasikia mgombea wa ccm aliyeiba uchaguzi amelazimika kuutema ubunge?

ACT wanafanya mikutano ya ndani na nje bila kubugudhiwa na Polisi, tofauti na inavyotokea huku Tanganyika.
 
Nani alikudanganya Bwashee? Humkumbuki Jecha alitia mpira kwapani? Hukumbuki mauaji ya kutisha na vipigo vilivvyowaachia wengi majeraha na vilema vya milele?
Kule Zanzibar kuna tume huru ya uchaguzi!
 
Back
Top Bottom