Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Baada ya kuzunguka na pitapita zangu nimegundua CCM licha ya kutumia dola kushinda lakini kuna maeneo wanashinda kwa udhaifu wa vyama vya upinzani alafu mwisho wa siku wanatupa lawama kwa vyombo vya ulinzi na usalama.
Mambo ambayo wapinzani wameanza kufeli kama yafuatayo.
(1) Asilimia 70 vyama vya upinzani havina uhakika wa kuweka mawakala katika uandikishaji wa daftari la wapiga kura kutokana na kukosa fedha kwa viongozi wa majimbo na mikoa mfano ACT-WAZALENDO inasema mawakala wajitolee kwenda kufanya kazi kwakua chama hakina bajeti ya kulipa.
(2) Wagombea waliowengi hawataki kugombea hasa ACT-WAZALENDO, kutokana na kuwanyima fedha viongozi wa majimbo ambao wangefanya kazi ya kupita kuzunguka.
(3) Vyama vya upinzani kupitia majimbo yao wameshindwa kutengeneza mihuri ya kila tawi ambayo itatumiwa katika fomu za wagombea .
Hivyo haya na machache lakini kwa kifupi vyama vya upinzani mpaka sasa wameshindwa kwa 40% nje ya box tutegemee ndani ya box hawatoshinda kwa kiwango kikubwa.
Soma, Pia:
=> Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama vya Siasa wataruhusiwa kuwepo katika Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura
==> John Mnyika aeleza mikakati ya CHADEMA kukabiliana na Orodha Haramu ya Wapiga Kura Wasiokuwa Halali