Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
ACT-Wazalendo na Chadema, wekeni Kando Ubinafsi. Muungane, ACT isimamishe mgombea rais Zanzibar ambaye tunashauri CHADEMA imuunge mkono, na Bara CHADEMA isimamishe mgombea ambaye ACT wazalendo itamuunga mkono. Hii ndio njia pekee ya kumpa CCM kipigo cha karne.
Vinginevyo matokeo yatakuwa ni yale yale mwaka nenda rudi ya Kulalamika tumeporwa, tulishinda blah, blah, blah..... CCM, TLP na NCCR-Wasaliti hawana kitu, Wananchi wamechoka na hivi vyama vya kinafiki. Wekeni Maalim-Zanzibar na Lissu bara muone nguvu ya Umma.
Mwana CCM Mkongwe !