Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Excellent ideas. Just not sure if these selfish leaders will agreeUna uhakika gani kama Tindu Lissu hatawekewa pingamizi na CCM?
Nina uhakika CCM atatumia kila mbinu Tindu Lissu,akose sifa za kugombea uraisi.
Lakini hata hivyo wanachama wa CCM ni kawaida yao kujiandikisha kwenye daftari ya kupiga kura pia hawasusii uchaguzi hupiga kura,tofauti na Chadema .
ACT ya Maalim Seif ya Visiwani wao hupiga kura tena block voting tofauti na Chadema .
Mbowe na secretariat ya Chadema ngazi zote wawahimize wananchi kujiandikisha kupiga kura
Vinginevyo watashindwa vibaya sana hata bila goli la mkono.
upo sahihii lkn mbona unawapangia la kufanyaACT-Wazalendo na Chadema, weaken Kando Ubinafsi. Muungane, ACT isimamishe mgombea rais Zanzibar ambaye tunashauri CHADEMA imuunge mkono, na Bara CHADEMA isimamishe mgombea ambaye ACT wazalendo itamuunga mkono. Hii ndio njia pekee ya kumpa CCM kipigo cha karne.
Vinginevyo matokeo yatakuwa ni yale yale mwaka nenda rudi ya Kulalamika tumeporwa, tulishinda blah, blah, blah..... CCM, TLP na NCCR-Wasaliti hawana kitu, wananchi wamechoka na hivi vyama vya kinafiki. Wekeni Maalim-Zanzibar na Lisu bara muone nguvu ya Umma.
Mwana CCM Mkongwe !
Ndugu yangu una moyo sana...panya wakila hawaachiani..eti kwa vile wote ni panya na kuwa wote wana ugomvi na paka!ACT-Wazalendo na Chadema, weaken Kando Ubinafsi. Muungane, ACT isimamishe mgombea rais Zanzibar ambaye tunashauri CHADEMA imuunge mkono, na Bara CHADEMA isimamishe mgombea ambaye ACT wazalendo itamuunga mkono. Hii ndio njia pekee ya kumpa CCM kipigo cha karne.
Vinginevyo matokeo yatakuwa ni yale yale mwaka nenda rudi ya Kulalamika tumeporwa, tulishinda blah, blah, blah..... CCM, TLP na NCCR-Wasaliti hawana kitu, wananchi wamechoka na hivi vyama vya kinafiki. Wekeni Maalim-Zanzibar na Lisu bara muone nguvu ya Umma.
Mwana CCM Mkongwe !
ACT-Wazalendo na Chadema, weaken Kando Ubinafsi. Muungane, ACT isimamishe mgombea rais Zanzibar ambaye tunashauri CHADEMA imuunge mkono, na Bara CHADEMA isimamishe mgombea ambaye ACT wazalendo itamuunga mkono. Hii ndio njia pekee ya kumpa CCM kipigo cha karne.
Vinginevyo matokeo yatakuwa ni yale yale mwaka nenda rudi ya Kulalamika tumeporwa, tulishinda blah, blah, blah..... CCM, TLP na NCCR-Wasaliti hawana kitu, wananchi wamechoka na hivi vyama vya kinafiki. Wekeni Maalim-Zanzibar na Lisu bara muone nguvu ya Umma.
Mwana CCM Mkongwe !
Safari hii chadema hampati alliance ya vyama vingine mtakoma kuungana Ni Jambo moja na ku maintain muungano Ni Jambo lingine ninyi ujuaji wenu ulikuwa ku form alliance ya UKAWA lakini how to maintain it muko zero!!!
CCM political engineers wetu hawakupanick kwa ule muungano wa UKAWA panick Yao ilikuwa kwenye sustainability kuwa UKAWA Kama utakuwa sustainable CCM lazima ifungishwe virago!!
Wewe unawaza kuwa wanatafuta kuongoza Kambi rasmi ya upinzani? CDM wakiungana na na ACT Wazalendo wanashinda uchaguzi wote.Chadema kuweni makini na Zito mtajikuta amewapora nafasi ya kambi rasmi nyie endeleeni kucheka naye mtakuja kujuta
Sent using Jamii Forums mobile app
UKO SAHIHI KABISAACT-Wazalendo na Chadema, weaken Kando Ubinafsi. Muungane, ACT isimamishe mgombea rais Zanzibar ambaye tunashauri CHADEMA imuunge mkono, na Bara CHADEMA isimamishe mgombea ambaye ACT wazalendo itamuunga mkono. Hii ndio njia pekee ya kumpa CCM kipigo cha karne.