Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo na CHADEMA, Wekeni Kando Ubinafsi

 
Ujanja ujanja tu. Kwamfano kukishirikiana na ACT wakapata victim vingi bungeni. Je? Mgao wa ruzuku utakuja. Je?, CHADEMA wwakishinda Urais nani atakuwa PM? Je? Mgao wa ruzuku huko vipi?
 
Tusisahau UKAWA nayo iliungana.
 
Kwasiasa za unafiki wa Wanasiasa wa Tz itaiishia Kama ukawa tu.....

Huyu huyu Zitto ninayemfahamu? Aungane kwa moyo na waliomtimua Kama mbwa.......

Anyway wanasiasa hawaelewi ngoja tusubilie tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…