ACT Wazalendo ndo wanadeka sasa, je nao watapata zamu Kama CUF na CHADEMA?

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Nimekumbuka sana

Wakati CUF wanaitwa MAGAIDI , CDM waliitwa IKULU kunywa CHAI wao walijua wanapendwa kumbe enzi hio hawakuwa TISHIO kwa MUUNGANO sasa Leo Goma Limegeuka wao ni Tishio ni Zamu ya ACT sasa kuitwa IKULU kunywa CHAI, hili ni Somo vyama vya upinzani kuungana na kutodhani wanapendwa na yeyote

Britanicca
 
Vyama vingine ni matawi ya CCM ili nchi ionekane ipo kidemokrasia inavyama pinzani vingi...
Hii nchi hii bhana ....mambo mengii muda mchache
 
Peak CUF haijawahi fikia influence ya chadema. CUF kwenye peak yake haikuwahi pata wabunge hata 10 huku bara mpaka walipoungana na chadema ile 2015. Chadema walienda ikulu 2012 wakiwa tayari ni chama kikuu cha upinzani walikua na wabunge 48 na kura zaidi ya 3m majimboni kura ambazo CUF haikuwahi zifikikia hata siku moja.

Kwahiyo huu mfano wako ni irrelevant kabisa
 
CUF kutopata wabunge bara ulikua ni mkakati wa kukikata maini na kukipa taswira kuwa chama cha visiwani,mwaka 2000-2010 CUF isingekosa wabunge mwanza,tabora,kagera,temeke,ilala,tanga,lindi,mtwara hata mbeya kwa njelu kasaka, CUF hadi maaskofu walikua hawakitaki
 
CCM wanavifanyia Recycling hivi vyama, na kuna kila dalili wataendelea kutawala kwa zaidi ya miaka 100 ijayo kwa sababu kuu mbili:
1. Wapinzani wanahitaji nguvu ya Umma kufanikisha Movements zao lakini bahati mbaya tuna taifa lenye kujitoa kwenye Ushabiki wa mpira na umbea umbea wa watu maarufu huko mitandaoni.

2. Wapinzani walio wengi ni wasaka tonge kiasi kwamba wakihongwa kidogo tu wanaunga juhudi REF: Katambi, Silinde, Mashinji, Nassari et al.
 
Hao wapinzani wenyewe ni mapandikizi ya serikali,narudia,ndani ya dola ya tz kuna watu Wana akili sana
 
Blai.

Shida ya Chadema ni kujiona wao special

Awatakuja kuungana na wengine kamwe kwa tabia zao za kujiamin wao ni bora zaidi

Unakumbuka Ukawa?


Pale ndio nilijua watu ni wapumbavu na wachumia tumbo
 
Haha Mwakibusi
 
Blai.

Shida ya Chadema ni kujiona wao special

Awatakuja kuungana na wengine kamwe kwa tabia zao za kujiamin wao ni bora zaidi

Unakumbuka Ukawa?


Pale ndio nilijua watu ni wapumbavu na wachumia tumbo
Walionesha uhovyo wa haki ya juu,ubinafsi
 
Kumanisha nini wewe!!?
 
Mpaka sasa Chadema aijaweza kuisumbua Ccm

2015 lowasa ndio alisumbua Ccm

Mpaka sasa Malim Seif na Edward Lowasa ndio watu waliowahi kuitikisa Ccm

Vingine tu mkuu ni vya kawaida sanaa
 
Ta Wapinzani sa Tanzania Bara wakati wa cuf zanzibar waliona kama wale wadini, wazanzibar wanapenda vurugu, hawakujua kwamba dunia ni dynamic not static. Wafaransa wanasema "Le monde change constamment ; il est en mouvement perpΓ©tuel, jamais figΓ©."
 
Lazima wadeke kwa vile ni chama cha mfukoni cha kibaraka zitto kabwa
 
na heche alifurahia sana kuingia ikulu, na aliigonga mno ile chai pale ikulu,
nadhani alipiga zaidi ya vikombe vinne ujue, ni bahati sukari iliisha upande alikokua amekaa akaona soo kuchukua sukari ya upande mwingine,

Hata hivyo, kiongozi wa ACT kule Zanzibar ana kiburi mno ambacho bila shaka yoyote athari zake zipo mpaka bara, huenda CUF ikarejea kwenye nafasi yake ya awali πŸ’
 
Blai.

Shida ya Chadema ni kujiona wao special

Awatakuja kuungana na wengine kamwe kwa tabia zao za kujiamin wao ni bora zaidi

Unakumbuka Ukawa?


Pale ndio nilijua watu ni wapumbavu na wachumia tumbo
Wewe akili hauna ..IQ yako ya bata ...mimi japo nawajua chadema ni wapumbavu ila kwenye ili wewe umewazidi ...njia mojawapo ya ccm kuua chama cha upinzani ni kukiunganisha na vyama pandikizi vya ccm ili kuzua migogoro ndani yake ..kwa sasa tz hakuna chama cha upinzani isipokuwa chadema tena nacho ni baada ya Tundu lissu kuchukua uongozi ...wakati wa mbowe tanzania kulikuwa hakuna kabisa upinzani ...Mbowe alikuwa ni kibaraka wa ccm wa chini kwa chini ....
 
Yaan wewe unanifundisha mimi?

Haha wewe utakua mjinga sana


Naongea nachojifanya kila wakati wewe boya
 
Yaan wewe unanifundisha mimi?

Haha wewe utakua mjinga sana


Naongea nachojifanya kila wakati wewe boya
Kwa hiyo wewe masawe waweza kunifundisha mimi 😁😁😁😁😁😁😁😁 ukiweza kumiliki asilimia 10 tu ya akili yangu basi wewe utakuwa ni binadamu mwenye akili sana hapa JF
 
Upinzani Tanzania hauwezi kustawi sababu ya njaa! Upinzani haukupi fursa zozote za kutoboa zaidi ya kukupa matatizo na kufinya fursa zako!

Hakuna mpinzani wa kudumu hata mmoja! Kila mmoja ana bei!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…