ACT Wazalendo ndo wanadeka sasa, je nao watapata zamu Kama CUF na CHADEMA?

ACT Wazalendo ndo wanadeka sasa, je nao watapata zamu Kama CUF na CHADEMA?

Lazima wadeke kwa vile ni chama cha mfukoni cha kibaraka zitto kabwa
Hii ACT watu wameshasahau ilivyoanzishwa. Hiki chama Zitto alikianzisha kwa muda mfupi sana kwa kusaidiwa na TISS. Zanzibar walishaingia cha kike kwa kukubali kuungana na Zitto. Watakuwa wnapewa wabunge wa Pemba na king'ora kwa kiongozi wao lakini urais wasahau.
 
Nimecheka kwa nguvu kinoma, yaabi kumbe ikulu hakuna kitu cha maana, bali kitu cha maana ni chai.
heche aliondoka na korosho zote zilizokua zimebaki mezani kwenye visosi akazikusanya na kuzitia mfukoni na kutokomea nazo huku akiendelea kuzitafuna,,

Hakutamani kabisa kuacha kitu kwasabb aliona kurudi tena ikulu inaweza kua ndoto 🐒
 
kumbe Ikulu ya Tanzania hivyo ndio vitu vya maana? Sio bure basi wazungu wanatudharau.
 
Nimekumbuka sana

Wakati CUF wanaitwa MAGAIDI , CDM waliitwa IKULU kunywa CHAI wao walijua wanapendwa kumbe enzi hio hawakuwa TISHIO kwa MUUNGANO sasa Leo Goma Limegeuka wao ni Tishio ni Zamu ya ACT sasa kuitwa IKULU kunywa CHAI, hili ni Somo vyama vya upinzani kuungana na kutodhani wanapendwa na yeyote

Britanicca
Nzito alivyo mnafiki na nyoka utaweza kuungana naye?
 
Lakini hakijafikia level ya chadema kusambaa kwake. Issue sio wabunge issue ni mvuto kwa wapiga kura, chadema pengine ni NCCR tu iliyoizidi public appeal and support. CUF miaka yote iliweka nguvu hasa pwani na zanzibar tu ila chadema na nccr zili invest sana countrywide
Siyo iliweka nguvu pwani, wakristo waliona ni chama cha waislam,pengo alikua vocal sana dhidi ya CUF,makanisani viongozi wakiwataka waumini wamchague mkapa
 
Siyo iliweka nguvu pwani, wakristo waliona ni chama cha waislam,pengo alikua vocal sana dhidi ya CUF,makanisani viongozi wakiwataka waumini wamchague mkapa
Wala sio sababu, hata chadema kiliitwa chama cha wachagga na wakristo ila mbona kilisambaa nchi nzima?
 
Wala sio sababu, hata chadema kiliitwa chama cha wachagga na wakristo ila mbona kilisambaa nchi nzima?
Kwani CUF haikusambaa nchi nzima!?..labda kilimanjaro ndo haikuwepo,CUF hata kuandikwa vizuri magazetini haikuandikwa, wakati chadema imeinjoi airtime itv,nipashe,dar leo,alasiri,mwananchi, CUF haikutakiwa kupata kiti bara
 
Back
Top Bottom