ACT Wazalendo ndo wanadeka sasa, je nao watapata zamu Kama CUF na CHADEMA?

Hao wapinzani wenyewe ni mapandikizi ya serikali,narudia,ndani ya dola ya tz kuna watu Wana akili sana
Lakini si unaona chama kilicho na top leaders wasio pandikizi wameamua kujitokeza hadharani na kuwafanyia intimidation tactics
 
Kwa hiyo wewe masawe waweza kunifundisha mimi 😁😁😁😁😁😁😁😁 ukiweza kumiliki asilimia 10 tu ya akili yangu basi wewe utakuwa ni binadamu mwenye akili sana hapa JF
Muulize Boss wako vizur

Hilo uliloandika hapo juu ni nadharia ndg

Nakupa uhalisia hutaki endelea na ujuaji
 
Vyama vingine ni matawi ya CCM ili nchi ionekane ipo kidemokrasia inavyama pinzani vingi...
Hii nchi hii bhana ....mambo mengii muda mchache
Umemuelewa mtoa post? Kama umemuelewa maana yake kipindi kile CUF wanaitwa Magaidi na Chadema ikiitwa kunywa juisi Ikulu maana yake Chadema lilikuwa Tawi la CCM. Sasa kwanini leo wengine wakiwa Tawi la CCM, Chadema mnakasirika? Au mlitaka ninyi muwe peke yenu kama Tawi la CCM?
 
Muulize Boss wako vizur

Hilo uliloandika hapo juu ni nadharia ndg

Nakupa uhalisia hutaki endelea na ujuaji
Tumia akili vyama vya upinzani Tanzania vingi viongozi wake wanapokea posho kwa samia ni mitego ni ccm branch hatakile chama kipya kinacho jitaja kwa jina la JPM pale wamejazwa usalama wa taifa ili kuwanasa WAZALENDO WANAO UNGA MKONO LEGACY YA MAGUFULI. ila ni chama cha ccm b
 
Aliyefanya liwe tawi hakuchaguliwa na wananchi kuwa mwenyekiti wa chadema...aliyesimamia upinzani wa kweli kapewa uhaini...sijui umenielewaaa
 
Lakini hakijafikia level ya chadema kusambaa kwake. Issue sio wabunge issue ni mvuto kwa wapiga kura, chadema pengine ni NCCR tu iliyoizidi public appeal and support. CUF miaka yote iliweka nguvu hasa pwani na zanzibar tu ila chadema na nccr zili invest sana countrywide
 
Naunga mkono hoja.
 
Tatizo linaazia pale kuwa, CHADEMA ni wabinfasi sana
 
Blai.

Shida ya Chadema ni kujiona wao special

Awatakuja kuungana na wengine kamwe kwa tabia zao za kujiamin wao ni bora zaidi

Unakumbuka Ukawa?


Pale ndio nilijua watu ni wapumbavu na wachumia tumbo
Sio lazima hivyo vyama vingine viungane na cdm. Viko vyama 17 sasa vya upinzani vilivyokubali kushiriki kiinimacho kiitwacho uchaguzi, waungane sasa maana cdm ndio ilikuwa kikwazo.
 
ACT ni tishio zaidi kwa Muungano kuliko CHADEMA. kelele za Chadema ni sababu raisi wa sasa ni Mzanzibari tu, akiingia Mtanganyika kalele zao zitapotea.
 
Nimecheka kwa nguvu kinoma, yaabi kumbe ikulu hakuna kitu cha maana, bali kitu cha maana ni chai.
 
Mpaka sasa Chadema aijaweza kuisumbua Ccm

2015 lowasa ndio alisumbua Ccm

Mpaka sasa Malim Seif na Edward Lowasa ndio watu waliowahi kuitikisa Ccm

Vingine tu mkuu ni vya kawaida sanaa
2010 ulikuwepo kipindi cha Dr slaa? Au enzi za zitto 2006-2009 ulikuwa bado haujazaliwa.
Unakumbuka enzi za Walid Kabour?
Wewe huna unalojua zaidi ya kelele tu. Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 chadema tulipata almost 40% ya kura zilizopigwa ukiondoa walioenguluwa. So lowassa alishakuta ukawa ina mtaji wa kura, angeenda ACT asingepata zile kura.
 
ACT ni tishio zaidi kwa Muungano kuliko CHADEMA. kelele za Chadema ni sababu raisi wa sasa ni Mzanzibari tu, akiingia Mtanganyika kalele zao zitapotea.
Kikwetwe na Magufuli walikuwa wazanzibar, ama umeshelewa saa hizi?
 
Checks and balance, tukumbushe ni LINI Chadema waliitwa Ikulu kunywa chai wakati huo huo CUF wakawa wanaitwa magaidi?
 
Kweli kabisa. Nguvu ya CUF ilikuwa Zanzibar hususani Pemba. Bara ilikuwa ni chama kidogo tu kisicho na nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…