ACT Wazalendo ni kama Azam tu na CHAUMMA ni kama Singida Black Stars

ACT Wazalendo ni kama Azam tu na CHAUMMA ni kama Singida Black Stars

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Huu ni ukweli kabisa...ukitaka uamini ona issue ya Maridhiano inavyozungumziwa, ni CCM na CHADEMA.

Issue ya Siasa Bongo ni Kama Issue ya Soka ilivyo..Kila Msimu kila agenda hua ni Simba na Yanga.

Ikitokea Azam kajitutumua kafanya usajili mzuri ndio unaona anazungumziwa na kupewa jicho na watanzania ni kama Last Election ACT kamsajili MPINA ndio watu kidogo wakaanza kuwapa macho ACT.

Huu ukweli unatakiwa ukubalike na ACT na CHAUMMA..nyie ni additional tu na itabaki hivo..na msije jiingiza katika agenda za kwamba CHADEMA ishakufa au itakufa hilo haliwez tokea katika kizazi hiki kinacho amini katika Bahati na Sibu.

Kizazi hiki kinaombwa Michango na CHADEMA kinatoa kinabaki bila hela wanaingia Sportybet wanabet wanapata hela ya Bure au wanacheza Aviator na Forex wanapata pesa ya buree so kuitoa kwao inakua easy..ukileta ajenda za kusema kua wanaibiwa hio pesa yao wanakuambia tusha lost sana Slip sio issue.

Hapa unaona Chadema wame win Hearts za hawa vijana na wamekuja kujitengeneza ufalme katika kipindi ambacho kijana mdogo anawaza kua ana haki ya kusikilizwa sawa sawa na Profesa.

Sio enzi zile za CUF zile Enzi wasomi walijiona wao ndio wana haki ya kusikilizwa tu wao wakisema hiki chama hakifai lazima waungwe Mkono na wanachama wakihame.

Ila saiv zinakuja porojo nyingi sana kua CHADEMA ni matapeli vijana wanakwambia hama wewe..

Vijana siku hizi akizinguma Kada wanasema atolewe yeye ila chama hawakihami.

Hapa ndipo Ccm wanavyochanganikiwa sana.

Hata hii issue ya Maridhiano ACT na CHAUMMA kubalini nyie ni Wasindikizaji tu kwenye Hii Ligi kama ambavyo hua Singida na Azam ila Main Contender watabaki CCM na CHADEMA.

Na CCM kubalini tu hata mbele ya Umma Hasimu wenu katika Siasa za Tanzania ni CHADEMA najua hilo mnalijua na mnalitambua hata moja ya aliekua Kada wenu mliemuua PolePole aliwahi sema Mpinzani pekee na wanaemtambua CCM ni CHADEMA pekee.

#Habefidem✨️
 
Kuilamu ACT ni sawa na kulilaumu gazeti la uhuru na mzalendo maana yake vinatimiza wajibu wao kwa mmiliki wao
 
Vyama vingine vyote vipo kusindikiza ratiba tu ili nchi ionekane ina demokrasia mbele ya mabeberu.
 
NCCR.MAGEUZI n kama lipuli ya iringa kwa.sasa

ADA TADEA..ni kama majimaji ya songea

Lakn CCM wanataka kuonesha kuwa hivi vyama vingine vinanguvu sawa na chadema

Swali n Moja TU kama. CHADEMA hawataki maridhiano so waridhiane na ADA TADEA SAU UPDP TLP

mbona hawaridhiani ?
 
Back
Top Bottom