ACT Wazalendo, Rais siyo Tume ya Uchaguzi

ACT Wazalendo, Rais siyo Tume ya Uchaguzi

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
ACT Wazalendo kusema watashiriki uchaguzi Kigoma kumpima Rais ni kuuadaa Umma wa Watanzania. Juzi wameshiriki uchaguzi Zanzibar, je walikuwa wanampima Rais?

Je, Rais ni msimamizi wa uchaguzi? Ni vyema wawe na msimamo tu kwamba Kama walivyoshinda Zanzibar ndivyo watakavyoshiriki uchaguzi huko Kwa Mpango Kigoma na Kwa hayati Nditiye.

Niwatakie uchaguzi mwema, ila acheni unafiki kujificha mgongoni mwa kiongozi wa nchi
 
Back
Top Bottom